Ilikuaje ukapata ugonjwa wa muda mrefu/kudumu?

Hapo kwenye nyeto hapo🤭
 
Aisee
 
📌90% ya muda wangu nilikua natumia computer
📌pia matumizi ya smartphone kwa muda mrefu
💥mwanga uliozidi kiwango ambao ulikua unasababishwa na taa sita zilizopo kwa kila darasa
Aisee kwaiyo saizi macho mekunduu
 
Kongole mwamba umeupiga mwingi sana hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo ya mwishoni nayo ni ugonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…