Ilikuaje watu waliopata zero form six na form four wakapata nafasi za juu kisiasa?

Mama Ametufikia

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
535
Reaction score
1,395
Tanzania tunabidi kuwa makini.

MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.

Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.

Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
 
Umaskini wa Kipato shida sana!!
 
Mwenye tatizo ni yule aliyefaulu mitihani yake with flying colors lakini elimu aliyoipata haijamnufaisha mtu yeyote kwenye jamii, including yeye mwenyewe!
 
Haahaa wanasiasa wengi ni zero, sio kina Lusinde, msukima, mbowe nk .Ujanjaujanja tu
 
Kwasababu ELIMU na kipawa Cha uongozi kipo tofauti sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…