Hatugombani
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,156
- 825
Mnajua Zee la vichenchi,limesoma nje na bado limetupiga pesa ndefu.
Yule Mama Prof wa Muleba a.k.a Pesa ya Mboga naye katupiga.
Hao ni mfano wa watu wenye elimu safii ila wanatuhuma za wizi.
Hii nchi wasomi wengi ndio wezi.
Fikra za wasomi ndio wanaweza kuongoza ni fikra za kifukara kabisa.
Lazima tubadilike kimtizamo.