Ilikuaje watu waliopata zero form six na form four wakapata nafasi za juu kisiasa?

Tanzania tunabidi kuwa makini.

MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.

Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.

Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Acha umbeya! Si uwataje? Lete ushahidi wa hizo tuhuma!
 
Haahaa mzee wa miaka 20+ ya kukomaa😂😂eti atastaafu mpaka atimize 68 kwani chama ni chake binafsi?
Inakuuma nini, kila mtu ana haki ya kuanzisha chama. Wivu wa nini.
ANZISHENI VYAMA VYENU ACHENI KULIALIA!!!....
 
Acha KULIALIA!!!....
Anzisha na wewe chama uwe Mwenyekikti.
Panga digrii zako upate wanachama🤣🤣
 
Tanzania tunabidi kuwa makini.

MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.

Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.

Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.

Kwa sababu wenye 1, 2, 3 na wenye GPA kubwa wanazipata kwa kukariri! Madaraka hayaji kwa kukariri so ni waoga kupindukia, wanawatumikia wanasiasa badala yake
 
Tanzania tunabidi kuwa makini.

MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.

Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.

Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Nani kasema kufeli shule ni kufeli maisha?
 
Tanzania tunabidi kuwa makini.

MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.

Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.

Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Kwa sababu A zako za kukariri makaratasi ya Wazungu hazikupi Social intelligence ambayo ndio ya muhimu kwenye maisha.
 
Tz hii hata kama una elimu ya la saba unapata kazi nzuri tu kikubwa uwe na connection na wanene tu
 
Tanzania tunabidi kuwa makini.

MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.

Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.

Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Weka picha zao tukawaondoe
 
Wakati nyie mnakomaa na kusoma wenzenu wanakomaa na siasa.

Nyie mnakomaa na shule wenzenu wanakomaa na biashara.

Siku mnamaliza shule mnakuta wenzenu wamepiga hatua kubwa na kuanza kulialia. Mbona wao hawawonei wivu na uprofesa wenu?

Kila mtu aheshimu mafanikio ya mwenzake.
 
Tanzania tunabidi kuwa makini.

MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.

Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.

Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Siasa hazihitaji elimu au ufaulu, ujanja ujanja na mdomo
 
Kiongozi lazima uwe na akili ya Darasani na duniani pia

Mungu alimpa Maarifa suleiman ili aweze kutawala Nchi yake

Mussa alikuwa ni msomi mkubwa sana hadhi ya kuitwa Engineer

Yesu alikuwa ni msomi mkubwa sana level ya kuitwa Mwalimu kwa sababu akiwa kijana mdogo tu alianza kupigisha vitabu Mafarisayo na kwenda kufundisha vyuo vikubwa pale mjini Jerusalem

Yusufu alikuwa ni msomi mkubwa kiasi cha kuweza kutafsiri ndoto na kuaminika na pharaoh jambo lililopelekea akawa Prime Minister kwenye nchi ya watu………Usifikiri PM ni mtu mjinga au mwenye elimu ya kuunga unga tu,hicho cheo miaka ile watu walikuwa wanasomea kwa viwango vikubwa kielimu

Nyerere,Mandela,Nkrumah,Obama,Gamal Abdel Nasser,Gaddafi etc……….hawa wamesoma sana ndio maana wameacha legacy kwenye nchi zao

Taifa likitawaliwa na watu wapumbavu sana kama Makengeza,Mama Abdul au Bashite……maendeleo mtayasikia kwenye bomba tu
 
Tanzania tunabidi kuwa makini.

MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.

Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.

Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Siasa ni kujua kusoma na kuandika TU hata kama cheti huna ila kama unajua kusoma imeisha. Albert Bashite
 
Kuna Chama kimoja kikubwa hapa nchini Mwenyekiti wake na katibu mkuu wake wote hawana degree,kwenye nafasi zao huwezi kuwatoa,wanajua wakitoka pale hawana kazi ya kufanya
 
Tanzania tunabidi kuwa makini.

MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.

Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.

Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Elimu ya zamani si sawa na sasa mjomba
Zamani unakuta shule nzima anaenda secondary mtu mmoja tu.

Ukipata hyo dv 4.wewe ndo kichwa enzi za watu walikuwa wanakesha miguu kwenye mabeseni ila kutokana na umri wako mdogo siwezi kukwambia zaidi.

Ila nikujulishe tu ukimuona mtu amemaliza secondary 2005 kurudi nyuma na akafanikiwa kupata cheti hata cha div 4 mheshimu kwani elimu yake aliipata kwa tabu mno.

Siyo kama nyie mnapelekwa tu eti shule nzima mmefaulu ote kwenda six weeee
 
Back
Top Bottom