Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,008
- 17,480
Acha umbeya! Si uwataje? Lete ushahidi wa hizo tuhuma!Tanzania tunabidi kuwa makini.
MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.
Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.
Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
SSHHata kuna mwingine alifeli F 4 akarisiti mara 4 ndipo akapata cheti. Lkn hivi tunavyoongea ni kiongozi wa nchi.
Inakuuma nini, kila mtu ana haki ya kuanzisha chama. Wivu wa nini.Haahaa mzee wa miaka 20+ ya kukomaa😂😂eti atastaafu mpaka atimize 68 kwani chama ni chake binafsi?
Tanzania tunabidi kuwa makini.
MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.
Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.
Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Nani kasema kufeli shule ni kufeli maisha?Tanzania tunabidi kuwa makini.
MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.
Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.
Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Kwa sababu A zako za kukariri makaratasi ya Wazungu hazikupi Social intelligence ambayo ndio ya muhimu kwenye maisha.Tanzania tunabidi kuwa makini.
MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.
Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.
Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Weka picha zao tukawaondoeTanzania tunabidi kuwa makini.
MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.
Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.
Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Siasa hazihitaji elimu au ufaulu, ujanja ujanja na mdomoTanzania tunabidi kuwa makini.
MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.
Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.
Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Siasa ni kujua kusoma na kuandika TU hata kama cheti huna ila kama unajua kusoma imeisha. Albert BashiteTanzania tunabidi kuwa makini.
MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.
Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.
Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Kasema chama chake alipewa na baba mkwe MteiHaahaa mzee wa miaka 20+ ya kukomaa😂😂eti atastaafu mpaka atimize 68 kwani chama ni chake binafsi?
Elimu ya zamani si sawa na sasa mjombaTanzania tunabidi kuwa makini.
MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.
Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.
Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
😂😆😆😆Hata kuna mwingine alifeli F 4 akarisiti mara 4 ndipo akapata cheti. Lkn hivi tunavyoongea ni kiongozi wa nchi.