Hatugombani
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,156
- 825
This is factMwenye tatizo ni yule aliyefaulu mitihani yake with flying colors lakini elimu aliyoipata haijamnufaisha mtu yeyote kwenye jamii, including yeye mwenyewe!
Niwezi wakubwa mbwa hawa.Mnajua Zee la vichenchi,limesoma nje na bado limetupiga pesa ndefu.
Yule Mama Prof wa Muleba a.k.a Pesa ya Mboga naye katupiga.
Hao ni mfano wa watu wenye elimu safii ila wanatuhuma za wizi.
Hii nchi wasomi wengi ndio wezi.
Fikra za wasomi ndio wanaweza kuongoza ni fikra za kifukara kabisa.
Lazima tubadilike kimtizamo.
hahhhhhaKupitia chama yote yanawezekana!
tena mbwa wa uswahiliniNiwezi wakubwa mbwa hawa.
Unazungumzia MARADONA yule wa bao la mkono.Hata kuna mwingine alifeli F 4 akarisiti mara 4 ndipo akapata cheti. Lkn hivi tunavyoongea ni kiongozi wa nchi.
Pia fuatilia elimu ya Jacob Zuma..Mama Abduli zero form 4.
..Bashite zero form 4.
..Makengeza zero form 6.
Nacho jua mbowe alisoma HGE pale Ihungo boys high school.....Mama Abduli zero form 4.
..Bashite zero form 4.
..Makengeza zero form 6.
Sio kweli.. HGE huwezi pata zero division three mpaka ya 17 .. tulio soma/ pita pale Ihungo boys high school tunajua alipataga division three ya 15Ehh...!!
Hivi ni kweli Mbowe ana Channel 0....
π₯±π₯±π§π§ππ©
Hspana. Yeye ni rais wa nchi kabisa.Unazungumzia MARADONA yule wa bao la mkono.
Kuna mwana ana Masters anaendesha Bajaj ya Muha mmoja std 7 mwenye maduka 3 ya nafaka, duka 2 za spea za pikipiki na nyumba 2 za kuoangisha....ambamo huyo dereva wa bajaj amepanga room 2 humo. Ukiacha hayo yote Muha ni kiongozi wa Chama tawala na ana nguvu ya kutosha tu kwenye Chama!!Aisee tuwe makini
Lakni ndo mmoja wa waandishi bora na mwenye tunzo za vitabu vinavyosomwa na Profs!.....Mjumbe wa kamati kuu ya chadema Yericko Nyerere nae ni zero la form 4.
Asilimia 90 ya madiwani,MaDc,MaRc,Wabunge,makatibu wa CCM,Kata, Wilaya na Mkoa,wameangukia hilo kundi ulilolitaja!Tanzania tunabidi kuwa makini.
MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.
Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.
Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Na ukitembea na mavyeti yako ya division one ukiamini ndio yatakupa maisha bila kupambana, utakufa kwa stress!Tanzania tunabidi kuwa makini.
MTU aliyepata zero form six kumuachia taasisi kubwa iwe chini yake ni hatari sana, lazima atakuwa mpiga dili.
Kuna na mwingine alikabidhiwa hadi Cheo na kiongozi fulani na akapigwa marufuku asiingie marekani.
Aisee tuwe makini hawa zero brainer mkiendelea kuwabeba ni hatari.
Vile ni vitabu au uchafu?Lakni ndo mmoja wa waandishi bora na mwenye tunzo za vitabu vinavyosomwa na Profs!.....
Basi,Kuna mwana ana Masters anaendesha Bajaj ya Muha mmoja std 7 mwenye maduka 3 ya nafaka, duka 2 za spea za pikipiki na nyumba 2 za kuoangisha....ambamo huyo dereva wa bajaj amepanga room 2 humo. Ukiacha hayo yote Muha ni kiongozi wa Chama tawala na ana nguvu ya kutosha tu kwenye Chama!!
Nacho jua mbowe alisoma HGE pale Ihungo boys high school...
HGE sio combination ya kupata zero period!!
Nacho jua..Na tulio soma Ihungo boys high school tunajua alipata division three ya 15
Huo opotoshaji unao ufanya ni kwa faida ya nani?!
Pia anazo PhD za heshima hadi za "Harvard"Hata kuna mwingine alifeli F 4 akarisiti mara 4 ndipo akapata cheti. Lkn hivi tunavyoongea ni kiongozi wa nchi.