Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Lile wazo alitoa nani... mbona halioneshi weledi wa kimichezo.Ilikuuma ee?
Sawa wao ndiyo waanzilishi...Sasa ulitaka yanga iige timu nyingine duniani... wao ndio wameamua kuanzisha wengine watafuata.
Kila kitu sio lazima kuiga heshimu maamuzi yako binafsi/taasisi
Ww umeandika hapa ili iweje?Sawa wao ndiyo waanzilishi...
walifanya vile ili iweje??
Nimeandika hapa ili nipate uelewa ilikuwaje Yanga wakafanya jambo kama lile!!??Ww umeandika hapa ili iweje?
Ngoja niwasiliane na mangungu labda atakuwa na uelewa...Nimeandika hapa ili nipate uelewa ilikuwaje Yanga wakafanya jambo kama lile!!??
Inaonekana Yanga kuifunga Simba kwao ni jambo la kufa na kupona...Ngoja niwasiliane na mangungu labda atakuwa na uelewa...
Sijii karudi kutoka kwao kipatimu kilwa kuvuna mananasi
Engineer Hersi Said, rais wa wananchi.Lile wazo alitoa nani... mbona halioneshi weledi wa kimichezo.
Halifanani na sifa anazopewa. Sijui aliwazaje kuja na wazo kama lile. Ni AIBU.Engineer Hersi Said, rais wa wananchi.
Ubunifu wa kipekee ule...Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga, iliwahi kubandika bango barabarani kuonesha kwamba wameifunga timu nyingine, mpaka sasa bado sijapata!!
Kiliwatokea nini wana Yanga kuja na wazo kama lile!!
Ule nao mnaita ubunifu...Ubunifu wa kipekee ule...
Kumbukumbu tu ya hilo tukio la kipekee....πππUle nao mnaita ubunifu...
Vyombo vyote vya habari vilitangaza Yanga imeifunga Simba 5-1, sasa lile bango lilikusudiwa liwe taarifa kwa nani!!??
Kama ungeipata hiyo timu nyingine ungefanyaje?Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga
Makolokolo mna akili ndiyomaana mna historia ya;Ni kweli hawana akili kama ni goli tano hata zaidi ya tano Simba amewahi kumfunga Yanga maana ndio sehemu ya mchezo WA makosa kama alivyosema msemaji WA Singida. Hakuna ajabu hata timu zenye nyota WA dunia wamewahi kufungwa idadi kubwa ya magoli.