Ilikuawaje Yanga wakaweka bango la kuonesha kwamba wameifunga Simba 5 -???

Yale ni makelele, Vyura wanapenda makelele.
 
Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga, iliwahi kubandika bango barabarani kuonesha kwamba wameifunga timu nyingine, mpaka sasa bado sijapata!!

Kiliwatokea nini wana Yanga kuja na wazo kama lile!!
usiogope kuwa tofauti na wengine...
 
Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga, iliwahi kubandika bango barabarani kuonesha kwamba wameifunga timu nyingine, mpaka sasa bado sijapata!!

Kiliwatokea nini wana Yanga kuja na wazo kama lile!!
Huko duniani ulikofanya utafiti Kuna Simba na yanga!?
 
Kwa zaidi ya mwezi sasa nafanya utafiti kuona kama kuna timu nyingine duniani zaidi ya Yanga, iliwahi kubandika bango barabarani kuonesha kwamba wameifunga timu nyingine, mpaka sasa bado sijapata!!

Kiliwatokea nini wana Yanga kuja na wazo kama lile!!
Midomo yenu michafu inayonuka.
 
Hawana kazi za Kufanya mtoa mada umesahau waliwahi kumtengenezea rais wao machela hasa baada ya kumsajiri Tuisila Kisinda na Mukoko Tonombe yaan watu flani malimbukeni tuuu ......Samahani jamani atakayeguswa!!!
 
Back
Top Bottom