The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Waovu, kwa mujibu wa vitabu vyao, walifanya uovu hadi wakashushiwa dini. Waliuana sana. Rejea Sodoma na Gomora, vita vya upanga, vita ya dunia, na mengine mengi na madhambi mengine. Sina ushahidi popote ambapo Waafrika walitenda haya mbali na vita ndogo ndogo.
Je ilikuwaje Waafrika wakawaamini waovu na kuendelea kuwa waovu hadi kuendelea kubaguana, kuchukiana, kudhalilishana, kuogopana, na kuuawana?
Je ilikuwaje Waafrika wakawaamini waovu na kuendelea kuwa waovu hadi kuendelea kubaguana, kuchukiana, kudhalilishana, kuogopana, na kuuawana?