The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Wale wale! Nami nashauri kama unavyoshauri. Tubadilike. Tuanze kuhoji hata kuasi badala ya kukubali kuwa kondoo ili wachunaji na fisi watuchune na kuturarua kama ambavyo wamekuwa wanafanya kwa miongo mingi mwanangu.Siri za Mungu huwezi kuzipata vyuoni. Kuna mambo mengi sana bado hatuyajui hapa duniani. Tuwe wapole tuendelee kusali kwa bidii zote.
Wakuchune kivipi?Wale wale! Nami nashauri kama unavyoshauri. Tubadilike. Tuanze kuhoji hata kuasi badala ya kukubali kuwa kondoo ili wachunaji na fisi watuchune na kuturarua kama ambavyo wamekuwa wanafanya kwa miongo mingi mwanangu.
Kwani sadaka na zaka fungu la kumi na mengine muibiwayo anahitaji na kula Mungu au hao matapeli wachunaji wanaowaita kondoo bila wao kujiita kondoo?Wanakuchune kivipi?