Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Uchaguzi wa Congo DRC wa mwaka 2018 ulikuwa ni fursa ya dhahabu ya Congo kurekebisha mambo mengi sana na kuipa nchi hiyo muelekeo sahihi wa kitaifa kwa mara ya kwanza ila uroho wa madaraka wa Kabila kulinda maslahi yake na kutoheshimu matakwa ya raia ukaikosesha Congo fursa hiyo.
Katika uchaguzi wa DRC wa mwaka 2018 ni wazi kwamba Martin Fayulu alishinda uchaguzi huo kwa kura nyingi sana lakini Kabila akaingilia Tume ya Taifa ya uchaguzi(CENI) kumsimika Tshisekedi aliyemuahidi atakuwa kibaraka wake.
Martin Fayulu alikuwa ni mgombea aliyeweza kuunganisha makundi mengi tofauti ya Congo, alikuwa na ushawashi mkubwa, huenda angeweza kuipa Congo ahueni kwa mara ya kwanza tofauti na Tshisekedi aliyeingizwa kwa msaada wa Kabila kupora uchaguzi.