Garincha II
Senior Member
- Jul 21, 2023
- 185
- 213
Hata Mimi nimeshangaa.Huyo Kagame yeye ni nani awe anamandate ya kutaka na kutokutaka rais wa nchi nyingine.
Hivi huwa mnasoma mnachokomenti au ndo akili zenu zilivyo🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mimi nimeshangaa.Huyo Kagame yeye ni nani awe anamandate ya kutaka na kutokutaka rais wa nchi nyingine.
Hivi huwa mnasoma mnachokomenti au ndo akili zenu zilivyo🤔
Kati ya Fayulu na Tshekedi, Kagame hamtaki Tshekedi, bora Fayulu..
Sasa wadhani alitangaza matokeo bila kuwa na waangalizi wa matangazo kuhakikisha atangaza matokeo yanotakiwa?Ilikuaje Nanga akubali kumtangaza mshindi, halafu leo aseme hakushinda aliiba kura?.
Ni ujinga alifanya, anasema eti walijadiliana wakaona ilikuwa ndio njia ya kutunza amani ya Congo, ila ni deals walicheza watatu wakitanguliza maslahi yao binafsi. Pia sio leo hata amesema kwamba alitangaza matokeo ya mfukoni kwa Kabila, tangu 2019 alianza hayo maneno ndipo wakazinguana na Tshisekedi.Ilikuaje Nanga akubali kumtangaza mshindi, halafu leo aseme hakushinda aliiba kura?.
Nimeona Wana intellingency wanasema wewe mtusi,,, una kipi cha kujitete
Africa tunasafari kubwa sana ya kuwa na watu walionyoka.Ni ujinga alifanya, anasema eti walijadiliana wakaona ilikuwa ndio njia ya kutunza amani ya Congo, ila ni deals walicheza watatu wakitanguliza maslahi yao binafsi. Pia sio leo hata amesema kwamba alitangaza matokeo ya mfukoni kwa Kabila, tangu 2019 alianza hayo maneno ndipo wakazinguana na Tshisekedi.
Labda pia alifikiri mahakama ya katiba itapindua matokeo na kumpa ushindi Fayulu maana ushahidi ulikuwa wa wazi kabisa.