Ilikuwa mafuta, ikawa miamala na sasa baada ya siku 5 itakuwa kilio cha nyongeza kiduchu ya mishahara

Huku kwetu Iramba weekend hii kafanyiwa sherehe - kachinjiwa maksai mwekundu!
 
Unasema kauli ya Mwigulu ina kautamu Fulani? Hapo unajifariji tu! Tayari inajulikana nyongeza ya mshahara ni shilingi 2,600/- sasa hapo ndiyo unataka kutuambia nini bwana NewPage?
 
Unasema kauli ya Mwigulu ina kautamu Fulani? Hapo unajifariji tu! Tayari inajulikana nyongeza ya mshahara ni shilingi 2,600/- sasa hapo ndiyo unataka kutuambia nini bwana NewPage?
Uzushi tu, nyongeza haiwezi kuwa buku 2 kamwe!
 
Hamuwezi kuvuna msipopanda, serikali kama inataka kukusanya kodi iwe tayari kufharamia miundo mbinu. Hivi kila Wilaya ikijenga frame 100 kando ya barabara na kupangisha wamachinga kwa laki moja kwa mwezi ni kiasi gani kitajkusanywa!
 
Unachekesha sana sijapata kuona mawazo ya ki-kuku-kuku kama hili-kuku
 
Unasema kauli ya Mwigulu ina kautamu Fulani? Hapo unajifariji tu! Tayari inajulikana nyongeza ya mshahara ni shilingi 2,600/- sasa hapo ndiyo unataka kutuambia nini bwana NewPage?
Kitachomtesa na kumhangaisha Mama yetu ni kama atang'anana na miradi yote ya mtangulizi wake kama ilivyo pamoja na Ile ya kwakwe ya vipaumbele vyake. Huwezi kutekeleza vipaumbele vya awamu mbili ukafanikiwa. Waliopandisha bei ya mafuta na miamala ni wale wanataka mama abebe miradi ya JPM na yake kwa wakati mmoja bila kujali hali za wananchi. Yaani unamtaka mwananchi wa kawaida kabisa wa kule Wanging'ombe atozwe hela kubwa ya kutoa hela aliyotumiwa na mjukuu wake anayefanya umachinga mjini ili ukajenge makao makuu Dodoma.

Sio kweli kwamba hela hiyo inakwenda kujenga zahanati pale kijijini kwake bali hela hiyo inakwenda kujenga majengo ya serikali, ikuli, barabara na mambo mengine kule Dodoma ambayo tayari yalikuwepo kule Dar es salaam.

Kama mama anataka kurekebisha uchumi hana budi kuachana na habari za Dodoma kwanza na miradi mingine yenye harufu ya ukanda zaidi.
 
Hi ni poenti kubwa na nzuli sana!
 
Kulia Lia,kukosoa,kulaumu ni sehemu ya maisha ya WaTzn kwa hiyo usipate shida sana ,hawanaga suluhisho kwa hiyo ni WA kupuuzwa
 
Jamii ipi? Unawajua wenye laana? Kuna laana umewahi Iona inaigusa serikali? Huna akili na hujui kitu,nakupuuza rasmi
Kama ujui kaaa kimya.We uoni kama serikali imelogwa vile kwa mambo yanavyoenda mbele nyuma,miaka 60 ya UHURU bado tunategemea misaada.
 
Kama ujui kaaa kimya.We uoni kama serikali imelogwa vile kwa mambo yanavyoenda mbele nyuma,miaka 60 ya UHURU bado tunategemea misaada.
Ndio maana unatakiwa kulipa kodi Ili kuepukana na misaada.

Sasa Nchi imejaa watu wapuuzi kama nyie hamtaki kulipa kodi ila mnalaumu,tunawapuuza na kodi ziko pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…