kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Shida yetu sio kulipa Kodi, bali namna Kodi inavyotumika. Hivi tulipe Kodi ili tupate hela za kuiba uchaguzi, kununua wapinzani,kurudia chaguzi, kuhamia Dodoma, kununua ndege cash, kujenga uwanja chato, nk.Ndio maana unatakiwa kulipa kodi Ili kuepukana na misaada.
Sasa Nchi imejaa watu wapuuzi kama nyie hamtaki kulipa kodi ila mnalaumu,tunawapuuza na kodi ziko pale pale
Kila mtu analipa kodi anaponunua chochote. Madini, kahawa korosho, Bandari, bahari, misitu, mbuga, ardhi, viwanda, usafirishaji, mafuta, gesi, PAYE, mifugo, nk. vyote hivyo havitoshi hadi tutoze vijizee vinavyotumiwa vijisenti vya matumizi na wajukuu zao? Laana gani hii. Tunawadanganya eti ni hela za kujenga zahanati zao, shame.