Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nakumbuka wakati uko weruweru mi nilikuwa Moshi technical... ndo nilikuwa naanza kukutongoza.Umenikumbusha mbali sana Manet, jamaa alikuwa na talent, nikakumbuka sherehe ya kuadhimisha miaka kumi ya umoja wa Vijana ilifanyika Moshi, nilikuwa Weruweru basi tulipata bahati ya kukaa mbele, nilimuoana Manet kwa mara ya mwisho.