Ilikuwa mwaka 1981

Ilikuwa mwaka 1981

Umenikumbusha mbali sana Manet, jamaa alikuwa na talent, nikakumbuka sherehe ya kuadhimisha miaka kumi ya umoja wa Vijana ilifanyika Moshi, nilikuwa Weruweru basi tulipata bahati ya kukaa mbele, nilimuoana Manet kwa mara ya mwisho.
Nakumbuka wakati uko weruweru mi nilikuwa Moshi technical... ndo nilikuwa naanza kukutongoza.
 
Hizo poster original nchi zingine ni utajiri tosha
Unakuta mnadani watu wana bid tu na dau linapanda
 
Imeenda vizuri sana. Pole na ubusy kuongezeka. Kingunge weye na vigunge majukumu yao ni makubwa wakati mwingine huwafuata mpaka nyumbani.🙂

Kazi iko poa kabisa sema ubusy unazidi!
Vipi wewe siku yako imeendaje kaka!
 
Imeenda vizuri sana. Pole na ubusy kuongezeka. Kingunge weye na vigunge majukumu yao ni makubwa wakati mwingine huwafuata mpaka nyumbani.🙂
Hahaha
Asante mwaya, huo ukingunge ni vipi jamaniii!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kingunge Sakayo but I am happy for you for taking care of your responsibilities to the maximum of your ability
🙂🙂

Hahaha
Asante mwaya, huo ukingunge ni vipi jamaniii!!
 
Back
Top Bottom