Ilikuwa mwaka 1981

Hiyo bendi naikumbuka miaka ya 90 mwanzoni walikuwa wanakuja kila weekend kwetu mabibo kwenye ukumbi wa chabruma inn, enzi hizo ilikuwa na waimbaji kama Shabaan Dede, Eddy Sheggy, Fresh Jumbe n.k
Kaeibu na kwa Kijana wa siku nyingi na mzee Gama
 
Tena unaweka mdomo bombani, maji hata huyaoni, yakitoka bombani ni mdomoni nabmoja kwa moja tumboni. Ukimaliza mwenzio anafuata....

Mtoni unaganya kusukuma majani pembeni unachota maji kwa mikono miwili na kuyanywa hapo hapo
primary tumekunywa sana maji hivi alafu husikii typhoid wala nini.
 
1981 nilikuwa nimeisha kwea pipa niko nje na maisha tofauti kabisa
Nikawa namshukuru Dingi kwa kunitoa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…