Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Dah, nishafanya hiki kitendo.Wakati huo ukijikwaa navkung'oa kucha, cha kwanza unajaza mchanga kwenye kidonda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah, nishafanya hiki kitendo.Wakati huo ukijikwaa navkung'oa kucha, cha kwanza unajaza mchanga kwenye kidonda
Tulikuwepo ila hatukuzaliwa tu.Wengi humu hakuwepo duniani kipindi hicho.
Kaeibu na kwa Kijana wa siku nyingi na mzee GamaHiyo bendi naikumbuka miaka ya 90 mwanzoni walikuwa wanakuja kila weekend kwetu mabibo kwenye ukumbi wa chabruma inn, enzi hizo ilikuwa na waimbaji kama Shabaan Dede, Eddy Sheggy, Fresh Jumbe n.k
Kama mkono ungeweza kushika sikio kwa kupitisha juu ya kichwa, tungekuwa darasa moja, bahati mbaya nili-attempt ikashindikana ikabidi nianze mwaka unaofuataNilikiwa darasa la kwanza shule ya msingi
primary tumekunywa sana maji hivi alafu husikii typhoid wala nini.Tena unaweka mdomo bombani, maji hata huyaoni, yakitoka bombani ni mdomoni nabmoja kwa moja tumboni. Ukimaliza mwenzio anafuata....
Mtoni unaganya kusukuma majani pembeni unachota maji kwa mikono miwili na kuyanywa hapo hapo
Nipe heshima yangu wewe mtoto.Wengi humu hakuwepo duniani kipindi hicho.