Ilikuwa ni kisasi cha wazanzibari kwa watanganyika dhidi ya yale mauji ya 2001 kule Pemba

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2020
Posts
5,146
Reaction score
15,927
Wanzanzibari akiwepo 'mama yenu' wanacho kinyongo cha muda mrefu na watanganyika.

Kuanzia mauaji yaliyoambatana na mapinduzi matukufu (mpaka wajomba wakakimbilia Oman), muungano, kifo cha Karume, issue ya Jumbe, na hususani yale mauaji ya wapemba baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.

Hayati Mkapa aliyekuwa rais wa JMT wakati wa mauaji ya 2001 hakuonesha kujali sana kuhusu uovu waliofanya. Baada ya kelele nyingi za ndani na nje ya nchi, serikali iliunda tume kuchunguza kilichotokea na mwisho wa siku ikalipa fidia kwa baadhi ya familia zilizokubwa na dhahama ile.

Hata baada ya kustaafu, Mkapa aliandika kwenye kitabu chake cha 'My life my purpose' kuwa mauaji yale yalibaki kuwa doa kubwa kwenye uongozi wake. Japo bado aliendelea kutoa 'excuse' na kutetea kilochofanywa na serikali ndani ya kitabu hichohicho.

Fast foward mwaka 2025, rais ni Mzanzibari na ameweka network ya wazanzibari wenzake kwenye nafasi fulani za kimkakati kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Pamoja na watanganyika 'ng'ombe' ambao wako tayari kufanya chochote kulinda 'ugali wao'.

Katika kile kituko kilichoitwa uchaguzi mkuu, serikali ya mzanzibari ilikuwa na fursa ya kipekee ya kulipiza kisasi dhidi ya watanganyika. Maandamano yaliwapa opportunity ya kuua as many people as possible. Walijua kutakuwa na maandamano na walijiandaa kuua watu.

Watu walio kwenye vyombo vya ulinzi wanajua waliletwa akina nani kutoka Zanzibar ili 'kuongeza nguvu' katika kipindi cha uchaguzi na ukatili walioufanya.

Tungekuwa taifa lenye watu timamu, mteule yule haramu hakupaswa hata kuapishwa, na wale maharamia waliokuwa wanapita mitaani na kuua watu randomly walipaswa kuwa marehemu. Lakini ndio vile tena.

Kituo kinachofuata ni 'muungano', mtaona huo mchakato wa katiba mpya utakavyodhoofisha serikali ya muungano na kuipa nguvu Zanzibar. Labda wazalendo njaa wetu waache kuangalia matumbo yao na kuweka maslahi ya taifa mbele.
 
Waliouwa watu Zanzibar Ni CCM na police CCm kwanini wasilipize kwa CCM bara?

Tusije tu kusikia milio ya simanzi na malalamiko

Sasa Vita ndio imeanza wapemba wote jiandaeni kurudi kwenu Zanzibar

Tuone Nani atapoteza Tena inabidi tuanze na uwanja wa azam complex na Azam media tuwasalimue maandamano yajayo!!
 
Waliouwa watu Zanzibar Ni CCM na police CCm kwanini wasilipize kwa CCM bara?

Sasa Vita ndio imeanza wapemba wote jiandaeni kurudi kwenu Zanzibar
Mwenyekiti wa CCM alikuwa mtanganyika, jeshi la polisi liko chini ya rais wa muungano, mtanganyika wakati huo.

Hata Mkapa anasema kwenye kitabu chake kuwa perception iloyokuwepo baada ya mauaji yale ni kuwa ule ulikuwa ni muendelezo wa watanganyika kuwakandamiza wazazibari. Na wanzibari wengi mpaka leo wana mtizamo huo.

Hivyo swala lile lilikuwa beyond CCM politics. Ni wanzibari vs ukatili wa watanganyika dhidi yao.
 
Wanzanzibari akiwepo 'mama yenu' wanacho kinyongo cha muda mrefu na watanganyika.

Kuanzia mauaji yaliyoambatana na mapinduzi matukufu (mpaka wajomba wakakimbilia Oman), muungano, kifo cha Karume, issue ya Jumbe, na hususani yale mauaji ya wapemba baada ya uchaguzi wa mwaka 2000.

Hayati Mkapa aliyekuwa rais wa JMT wakati wa mauaji ya 2001 hawakuonesha kujali sana kuhusu uovu waliofanya. Baada ya kelele nyingi za ndani na nje ya nchi, serikali iliunda tume kuchunguza kilichotokea na mwisho wa siku ikalipa fidia kwa baadhi ya familia zilizokubwa na dhahama ile.

Hata baada ya kustaafu, Mkapa aliandika kwenye kitabu chake cha 'My life my purpose' kuwa mauji yale yalibaki kuwa doa kubwa kwenye uongozi wake. Japo bado aliendelea kutoa 'excuse' na kutetea kilochofanywa na serikali ndani ya kitabu hichohicho.

Fast foward mwaka 2025, rais ni Mzanzibari na ameweka network ya wazanzibari wenzake kwenye nafasi fulani za kimkakati kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Pamoja na watanganyika 'ng'ombe' ambao wako tayari kufanya chochote kulinda 'ugali wao'.

Katika kile kituko kilichoitwa uchaguzi mkuu, serikali ya mzanzibari ilikuwa na fursa ya kipekee ya kulipiza kisasi dhidi ya watanganyika. Maandamano yaliwapa opportunity ya kuua as many people as possible. Walijua kutakuwa na maandamano na walijiandaa kuua watu.

Watu walio kwenye vyombo vya ulinzi wanajua waliletwa akina nani kutoka Zanzibar ili 'kuongeza nguvu' katika kipindi cha uchaguzi na ukatili walioufanya.

Tungekuwa taifa lenye watu timamu, mteule yule haramu hakupaswa hata kuapishwa, na wale maharamia walilkuwa wanapita mitaani na kuua watu randomly walipaswa kuwa marehemu. Lakini ndio vile tena.

Kituo kinachofuata ni 'muungano', mtaona huo mchakato wa katiba mpya utakavyodhoofisha serikali ya muungano na kuipa nguvu Zanzibar. Labda wazalendo njaa wetu waache kuangalia matumbo yao na kuweka maslahi ya taifa mbele.
Huu ni uongo kama uongo mwengine, mnapandikiza chuki ya uzanzibari na utanganyika, mnakosea sana, hao wote waliouawa, wale wa pemba 2001 na hawa watanganyika 2025 ni matokeo ya dhulma ya mfumo dola ambayo ipo chini ya CCM. ATA rais angekua mtanganyika angeua tu, yale mauaji ya mwembechai, yule Daudi Mwangosi alipigwa bomu utumbo ukachawanyika, Lissu mwenyewe alichezea risasi za kutosha Rais akiwa Mtanganyika. Sasa acheni kupandikiza chuki , acheni kupalilia moto, know your enemy
 
Zanzibar mwaka 2001 waliuwawa watu 21 lakini wao KMKM.wameua zaidi.wa wato elfu 15 lazima tulipe kisasi tu kuna wapemba wengi sana huku bara tuwaue hadi namba ifike mara dufu ya waliotuulia majuzi.
 
Stupid post nyengine hii!
 
She chose to quote Mkapa's speech purposely.
Aisee umesema kitu kikubwa sana. Hili sikuwaza.

Ninachoona mimi kuna script nzima ya utawala wake anatengenezewa na yeye kwa uwezo wake ulivyo na kwa kuwa madaraka yamemuangukia tu bila kutegemea wala kuwa na qualification, anaenda na chochote anachoambiwa.

Wanaomzunguka na kumshauri wanatengeneza mazingira ya justification ya maamuzi yake halafu wanatengeneza ushahidi wa kimazingira kumuhusu yeye mwenyewe. Sijui kama naeleweka.
 
Sidhani kama anauwezo wa kuelewa vitu kwa undani. Ila chuki anayo tena ile ya ndani kabisa.
 
Huu ni uongo kama uongo mwengine, mnapandikiza chuki ya uzanzibari na utanganyika, mnakosea sana, hao wote waliouawa, wale wa pemba 2001 na hawa watanganyika 2025 ni matokeo ya dhulma ya mfumo dola ambayo ipo chini ya CCM. ATA rais angekua mtanganyika angeua tu, yale mauaji ya mwembechai, yule Daudi Mwangosi alipigwa bomu utumbo ukachawanyika, Lissu mwenyewe alichezea risasi za kutosha Rais akiwa Mtanganyika. Sasa acheni kupandikiza chuki , acheni kupalilia moto, know your enemy
Ni kweli dola imeua watu miaka ya nyuma, but this was different. It was systematic and unnecessary. Wameua watu waliokuwa majumbani mwao, wameua mpaka watoto. Unahitaji kuwa na chuki ya hali ya juu kufanya matendo kama hayo. Plus kulikuwa na watu wengi kutoka upande wa pili waliokuja kushiriki kampeni hiyo ya mauaji.
 
Zanzibar mwaka 2001 waliuwawa watu 21 lakini wao KMKM.wameua zaidi.wa wato elfu 15 lazima tulipe kisasi tu kuna wapemba wengi sana huku bara tuwaue hadi namba ifike mara dufu ya waliotuulia majuzi.
Wala hakuna haja ya kulipa kisasi dhidi ya wananchi wa kawaida. Adui wa taifa ni yeye mhusika mkuu na wanaomuwezesha.
 
Sidhani kama anauwezo wa kuelewa vitu kwa undani. Ila chuki anayo tena ile ya ndani kabisa.
Marais huwa wanashauriwa kulingana na ubora na mapungufu yao. Huyu wameona mapungufu yake yalipo (ikiwezekana hayo ya chuki kwa Watanganyika kama yapo kweli) na wanaomshauri wanapita humo humo.

Ndiyo maana ukiwa Rais (au kiongozi yoyote) hakikisha una walau mtu mmoja wa karibu ambaye anakupenda kweli na anafanya mambo kwa your best interest. Sehemu ya kukwambia "hapana, usifanye hivi", hasiti kukwambia. Sehemu ulipovurunda, anakwambia. Hivi hivi, utazungukwa na "Yes Men", watu wanaotaka kukufurahisha huku wanakuangamiza. Hawa watu wakishaelewa udhaifu wako, umekwisha.
 
Well said.
 
Huu ni uongo kama uongo mwengine, mnapandikiza chuki ya uzanzibari na utanganyika, mnakosea sana, hao wote waliouawa, wale wa pemba 2001 na hawa watanganyika 2025 ni matokeo ya dhulma ya mfumo dola ambayo ipo chini ya CCM. ATA rais angekua mtanganyika angeua tu, yale mauaji ya mwembechai, yule Daudi Mwangosi alipigwa bomu utumbo ukachawanyika, Lissu mwenyewe alichezea risasi za kutosha Rais akiwa Mtanganyika. Sasa acheni kupandikiza chuki , acheni kupalilia moto, know your enemy
Wewe matako ya shangazi yako mbwa wewe, ndio utetezi gani huu sasa? Eti uongo na kupandikiza chuki, pumbav kabisa hebu pita kwenye mitandao huko usome comments za wazanzibar wenzio wanavyofurahia haya mauaji tena wakisema kabisa "wabara acheni kulalamika, hata sisi raisi wenu Mkapa alituua sana mwaka 2001"

Yaani unataka tuupuuze ukweli wa chimbuko la mauaji haya kwa kuvaa koti la kinafiki eti tudumishe upendo na amani, wakati tunaongozwa na shetani anayenuka damu za maelfu ya watanganyika?

Halafu unaweza kulinganisha tukio la Lisu kupigwa risasi na mauji ya watu 10,000? Hivi una akili hata chembe mpumbav wewe?

Siku kikinuka tena, mbwa wewe ndio wa kuanzia.
 
Back
Top Bottom