Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

nilikuwa wapi kuona hii kitu jamani kweli siku hizi nimekuwa mvivu kutembelea jukwaa hili

hongera sana kwa kuwepo jf kwa muda huo bila ban ila mwambie Filipo anipe mzigo wangu kabla sijaanza makeke hapa hahahahaha bestito hongera sana

Asante best. ..Siku hizi wakongwe wametelekeza jukwaa. ..Itabidi tufanye "Jukwaa come back"

Best unamdai nini mume wangu?Nishirikishe ili niweze kukusaidia. ......Ila message ntamfikishia. .....

Happy New Year
 
nilikuwa wapi kuona hii kitu jamani kweli siku hizi nimekuwa mvivu kutembelea jukwaa hili

hongera sana kwa kuwepo jf kwa muda huo bila ban ila mwambie Filipo anipe mzigo wangu kabla sijaanza makeke hapa hahahahaha bestito hongera sana

Habari yako kimwana! Mzigo nilimwachia amu
 
Back
Top Bottom