Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

Hahahahahahahahah,

Kumbe mlijiunga siku moja??

Jina lako la zamani lilikuwa lipi??

Halafu usome vizuri hiyo post ya mama totooo....na maneno ya babu...sawa ehhhh???



Duuuuuuuuuuuuuuu......umeua marejesho...!!

Hapa wewe mwenyewe umedhihirisha ushuhuda wa babu...kama kuna mtu atakuja kunizulia kesi, basi namleta kwenye hii reference post...!!

Ndiyo maana wenye busara zao walisema enzi zao kuwa "mke mwema hutoka kwa God...."....lol!!

Siyo kila mtu bado anatumia huo msamiati..(blue)...Angekuwa chizi mmoja hapa kama Madame B au Kongosho...hii ilikuwa tayari imeshakuwa ligi ya kutimua nayo hadi December!!...Ila wewe umeyamaliza kwa busara na hekima...

Ubarikiwe sana!!...Naamini hata Smile atakuja kupata tuition kwako...

Huyu Filipo anayo bahati ya mtende haki ya nani...sijue Mungu ampe nini zaidi..

Sina kingine cha kusema...endeleeni kumtukuza Mungu......Amen!!

CC: Wazee/wakubwa wenzangu wote... Asprin, Kaizer, gfsonwin, snowhite (??), Mtambuzi, PakaJimmy (mwenyekiti), @FP, Nyamayao (???) na wadogo/wajukuu zetu wapendwa.. King'asti, MwanajamiiOne, Arushaone, mwanyisi, KOKUTONA, Arabela, Lily Flower,.........!!!

Babu DC!!

Babu kuna mtu kanizeesha aisee
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Marejesho mpenzi hongera sana. Name nimeenjoy kukutana kwetu. Me love you much ingawa nina mipango ya muda mrefu na Filipo.. Ila nitahakikisha mipango yangu haikuathiri.
 
Marejesho mpenzi hongera sana. Name nimeenjoy kukutana kwetu. Me love you much ingawa nina mipango ya muda mrefu na Filipo.. Ila nitahakikisha mipango yangu haikuathiri.


Sasa na wewe unataka kuniudhi,

Si utafute wa kwako badala ya kwenda kujibana kwenye angle thita??

Babu DC!!!
 
Back
Top Bottom