Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atigire.....
Karibu ...Loshoro arashu mariko...
Hahahahahahahahah,
Kumbe mlijiunga siku moja??
Jina lako la zamani lilikuwa lipi??
Halafu usome vizuri hiyo post ya mama totooo....na maneno ya babu...sawa ehhhh???
Duuuuuuuuuuuuuuu......umeua marejesho...!!
Hapa wewe mwenyewe umedhihirisha ushuhuda wa babu...kama kuna mtu atakuja kunizulia kesi, basi namleta kwenye hii reference post...!!
Ndiyo maana wenye busara zao walisema enzi zao kuwa "mke mwema hutoka kwa God...."....lol!!
Siyo kila mtu bado anatumia huo msamiati..(blue)...Angekuwa chizi mmoja hapa kama Madame B au Kongosho...hii ilikuwa tayari imeshakuwa ligi ya kutimua nayo hadi December!!...Ila wewe umeyamaliza kwa busara na hekima...
Ubarikiwe sana!!...Naamini hata Smile atakuja kupata tuition kwako...
Huyu Filipo anayo bahati ya mtende haki ya nani...sijue Mungu ampe nini zaidi..
Sina kingine cha kusema...endeleeni kumtukuza Mungu......Amen!!
CC: Wazee/wakubwa wenzangu wote... Asprin, Kaizer, gfsonwin, snowhite (??), Mtambuzi, PakaJimmy (mwenyekiti), @FP, Nyamayao (???) na wadogo/wajukuu zetu wapendwa.. King'asti, MwanajamiiOne, Arushaone, mwanyisi, KOKUTONA, Arabela, Lily Flower,.........!!!
Babu DC!!
Hongera sana mke mwenza marejesho.
Ila nikwambie tu kuwa mie mwaka nimeuanza kivingine kabisa hivyo wala usiwe na wasiwasi tena na mimi. Filipo , Mungi, Vin Diesel nitonye n.k wote tupa kule.
Ha ha ha.. Ngoja sasa nirudi kwenye lugha ya Taifa nisijepewa ban bure....
Nadhani maombi mazuri ntayapata Tanga
Dah nimeshaahidi kuja hata kn mwenyewe tena kabla Jan haijaisha.Wewe huna ujanja wa kuja Tanga ......
Haki ya nani ulinivunja nguvu....sitaki hata kufikiria....
Ngoja niishie hapo...
Babu DC!!
Marejesho mpenzi hongera sana. Name nimeenjoy kukutana kwetu. Me love you much ingawa nina mipango ya muda mrefu na Filipo.. Ila nitahakikisha mipango yangu haikuathiri.