Mkuu mwili wa ufufuko ni tofauti na huu wa kawaidambona wameweka zege juu hata mtu akifufuka ashundwe kutoka
Ulishawahi kuuona mkuu?Mkuu mwili wa ufufuko ni tofauti na huu wa kawaida
mbona wameweka zege juu hata mtu akifufuka ashundwe kutoka
kwa hiyo wangewekea kifusi ndio angeweza kutoka!!!mbona wameweka zege juu hata mtu akifufuka ashundwe kutoka
Alikua naye efm, wote hatujui ni bahati mbaya wameongozana au vip, mungu ndio anajuaR.I.P Dennis.
Yule mwingine Bikira wa Kisukuma alikuwa EFM naye?
Pana nini hapo? Au bahati mbaya tu wameongozana?
Nawahurumia sana wazazi wanaozika watoto wao wakiwa bado vijana.Alikua naye efm, wote hatujui ni bahati mbaya wameongozana au vip, mungu ndio anajua
Alikua naye efm, wote hatujui ni bahati mbaya wameongozana au vip, mungu ndio anajua