Ilikuwa vilio na simanzi mazishi ya aliyekuwa mtangazaji wa EFM, Denis Rupia(Chogo)

Ilikuwa vilio na simanzi mazishi ya aliyekuwa mtangazaji wa EFM, Denis Rupia(Chogo)

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Mazishi ya yamefanyika Ifakara Kibaoni na ndipo mahali alipompumzisha ndugu yetu Dennis Rupia (Chogo).
7.jpg

Mwili ukiwa unashushwa katika nyumba ya milele
2.jpg

Baba na kaka wa Marehemu, Dennis Rupia (Chogo) wakiweka msalaba kwenye kaburi la mpendwa wetu.
3.jpg

Waombolezaji wakiwa katika majonzi makubwa
4.jpg

Viongozi wa kiroho wakiweka shada kaburini
5.jpg

Wazazi wa marehemu, Dennis Rupia wakiweka shada kaburini.
6.jpg

Mtoto wa marehemu Dennis Rupia (Chogo) akiweka shada na kumpumzisha baba yake kwenye makazi ya milele
 
Back
Top Bottom