Ilikuwa vilio na simanzi mazishi ya aliyekuwa mtangazaji wa EFM, Denis Rupia(Chogo)

Inauma

R.I.P

Mtoa mada siku nyingne usiweke picha nyingi mtandaoni bado watu wana majonzi

Sasa wew unatoa wapi nguvu ya Ku share

Kweli mwenye msiba ni mfiwa wengne wasindikizaji tu
 
Poleni sana wana familia. R.I.P Denis...
 
Kwamba huwa anawaonyesha jinsi mfufukaji hawezi kutoka kabulini kama kabuli limesakafiwa na zege..?
Halafu ni Kaburi na Kaburini.

Pitia post zake utaelewa.
Namtandikia bwana kitanda muda huu.
 
R.I.P CHOGO
Kifo chako kitukumbushe wana jf kwamba hakuna ajuae saa wala dakika kwa iyo tumrudie muumba wetu na tuache mambo papuchi mbunye mkuyungu bwawa vibamia mtalimbo vitumbua
 
Huwa naumia sana nikiona mtu mpaka anakufa lakini bado hajasilimu kumrudia Allah S.W.T.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…