Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona wameweka zege juu hata mtu akifufuka ashundwe kutoka
Ndio hvyoNawahurumia sana wazazi wanaozika watoto wao wakiwa bado vijana.
Mkuu umenifanya nicheke msibani daaaaaa hizi fikra bhanambona wameweka zege juu hata mtu akifufuka ashundwe kutoka
Naskia aliugua kwa mda mfup tuuAlikua anaumwa nn?
angepiga kelele angalau wapita njia wanaweza sikiakwa hiyo wangewekea kifusi ndio angeweza kutoka!!!
Halafu ni Kaburi na Kaburini.Kwamba huwa anawaonyesha jinsi mfufukaji hawezi kutoka kabulini kama kabuli limesakafiwa na zege..?
Kaburi la Yesu Kristo liliwekewa jiwe kubwa na walinzi juu lakini hakuna kilichozuia kufufuka kwake.
Basi unajiona mjaanja mwenyewe!!!angepiga kelele angalau wapita njia wanaweza sikia
Mkuu umenichekesha japo no huzunimbona wameweka zege juu hata mtu akifufuka ashundwe kutoka
Huwa naumia sana nikiona mtu mpaka anakufa lakini bado hajasilimu kumrudia Allah S.W.T.Mazishi ya yamefanyika Ifakara Kibaoni na ndipo mahali alipompumzisha ndugu yetu Dennis Rupia (Chogo).
View attachment 601229
Mwili ukiwa unashushwa katika nyumba ya milele
View attachment 601212
Baba na kaka wa Marehemu, Dennis Rupia (Chogo) wakiweka msalaba kwenye kaburi la mpendwa wetu.
View attachment 601213
Waombolezaji wakiwa katika majonzi makubwa
View attachment 601214
Viongozi wa kiroho wakiweka shada kaburini
View attachment 601215
Wazazi wa marehemu, Dennis Rupia wakiweka shada kaburini.
View attachment 601216
Mtoto wa marehemu Dennis Rupia (Chogo) akiweka shada na kumpumzisha baba yake kwenye makazi ya milele