dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Katikati Hali ya kushangaza sna Jana mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Paulo makonda aliwaamuru takukuru kumkamata afsa ardhi bwan mwakyola kwa kutuhuma za kupokea rushwa kiasi Cha shilingi milion tano mbele ya RC na mbele ya rais Mwinyi.
Rc makondaa alisema "huyu bwan alivyo wa aajbu alipewa rushwa ya shilingi milion tano mbele yangu na rais mwinyi na nikamuambia wee ilete hyo bahasha uliyo pewa jamaa akaitupa chini ili kupoteza ushaihidi na kwa ushahidi Zaid video IPO" Alisema makonda.
Ni vyema tuone hyo video Kama kweli jama alipokea rushwa mbele ya rais na rc na ilikuwaje mtego wa nmna hyo uwekwe mbele ya rais na RC?
Mbya Zaid makonda alisema huyu bwana achunguzwe kwa tuhuma hzo lkn ajabu Bado alikuwa ofcn Bado. Na jamaa bila kujali aliudhuria mkutano wake uliofanyika ngaramtoni mjin mdgo.
Je, inakuwaje watu wawe majasiri kiasi hiki Hadi kuchukuwa rushwa mbele ya rais na RC.
Kama afsa anaweza kuchukuwa rushwa mbele ya rais na rc je mawaziri na viongozi wengine.
TUNARUDI NYUMA SNA