mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Wanawalaghai kuwapa "hadhi maalumu"Huoni watu wenye uongozi wanataka kutoa Hadhi maalumu badala ya dual
Yaani wala sijui ni nini hiyo
Kuna ukweli kuhusu vikongwe ila kuja huko nimeghairi maana kila leo mnakopa tu
Na sasa mmejiongeza mpaka Korea tena
Acha nipambane tu huku maana fursa zipo kila mahali ila huku ni nyingi na kitu ambacho huko huwezi kufanya ni kuwa na partners kwenye biashara ni ngumu sana ila huku kununua shares au kuwa Director ni rahisi sana na hela unaiona bila hiyana
Ila bado ni nyumbani tu sipakatai
Daaah hawa watu ni shidaa hii kitu sijawahi sikia
Mkuu tulia huko ule maisha tuu bongo miyeyusho
Wazee wa kulamba asali tuu
Wazuri hawafi
Wanajiita born town
Watu wa deal
Wazee na vijana wote sawa
Uzee mwisho chalinze
Wazee wa trab na trat daaah hatariiii Sana twafaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app