Ilikuwaje Afisa Ardhi apokee rushwa mbele ya Mkuu wa Mkoa na Rais Mwinyi?

Wanawalaghai kuwapa "hadhi maalumu"
Daaah hawa watu ni shidaa hii kitu sijawahi sikia

Mkuu tulia huko ule maisha tuu bongo miyeyusho

Wazee wa kulamba asali tuu
Wazuri hawafi
Wanajiita born town
Watu wa deal

Wazee na vijana wote sawa
Uzee mwisho chalinze
Wazee wa trab na trat daaah hatariiii Sana twafaa



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yaani ni maajabu ya dunia mzawa anapewa hadhi maalum ila mchina anaitwa muwekezaji halafu anatembeza maua kariakoo

Hapa wanadhani kuna wajinga watatumbukia humu kupewa hadhi maalum
Kama ni wabunifu kwanini wanazidi kulipaisha deni la taifa?
 
Rushwa,ufisadi,wizi,ubadhirifu unaofanyika unafanywa na watu wanaolindwa na dola,Je dola imeruhusu na kuyalinda hayo!!!?

Okh sawa;-

"Wakati wanajeshi wanalinda mipaka ya nchi yetu,wanasiasa walipaswa kulinda rasilimali zetu,je ulinzi wa rasilimali zetu unaridhisha!!?
 
Msikilize Balozi wetu Kairuki wa 🇬🇧 alipokuwa Leeds akiongea na wabongo
 
kuna mawili
 
Hii inawezekana kwa namna moja tu. Aliwahi kuomba rushwa, halafu mtu aliyeombwa rushwa akaripoti kwenye mamlaka, halafu akapewa fedha zenye namba maalumu (sijui kam fedha hizi bado zipo siku hizi) kwenye bahasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…