Ilikuwaje Ali Kiba na Ommy Dimpoz wakatumia location ya Wasafi kwenye video yao?

Ilikuwaje Ali Kiba na Ommy Dimpoz wakatumia location ya Wasafi kwenye video yao?

GadoTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
370
Reaction score
636
056d22fb5fec3972fae46c954c582855.jpg

6864a0ff6c4e4f0c8b7b0ae12c884d32.jpg

396b1a12db7b6c5d0aefba01a385d156.jpg

Tunajua wimbo wa Bado wa Harmonize na Diamond umetoka kitambo kidogo na video yake ilifanyikia South.

Nachojiuliza ilikuwaje Ali Kiba na Ommy Dimpoz wakaamua nao wakafanyie video eneo lile lile walilofanyia kina Diamond, tena wao kina Kiba wakashoot usiku!!?

Najiuliza swali la kizushi tu.
 
Kwa sababu ni uzushi ni bora ukamwambie mama yako atakusamehe
 
Kiba anaamini sana kwenye ushirikina.. Hapo kuna imani fulani za giza na pete yake ya kijani ile. South yote hakuona location ila hapo tu.
 
Kwa sababu ni uzushi ni bora ukamwambie mama yako atakusamehe
Hapana sio uzushi mkuu. Ebu tazama mwenyewe . Labda kwa kuwa mida ni tofaut ndio maana uhoni tofauti.

4a17dcbbdd1953bb58cbde4ffaa3458a.jpg

f90498405ae0fe0dbab8e001ca7252e6.jpg

8cd32d0b785318169da0e93062c63364.jpg

f36c405f54754acc0651d79c4d3e2783.jpg
 
We si umeuliza swali la kizushi ama? Hivi unapata wapi muda wa kudadisi hizi picha kwa undani zaidi,mambo mengine yakupite juu juu
 
Simba akila mtu cyo habari ila mtu akila simba duuuh ni habari yenye msisimuko

Mwenye akili atakua kang'amua nn namanisha
 
Swali hili halina tofauti na kusema kwa nini harusi fulani ilifanyikia ukumbi fulani wakati akina fulani nao walifanyia palepale.
kila nikikutana na maswali kama haya namkumbuka sana Trump
 
Obama kakaa white house eight years lakin still soon mwakan atampisha Trump naye akae japokuwa hampend
 
Back
Top Bottom