Kwa sababu ni uzushi ni bora ukamwambie mama yako atakusamehe
Tunajua wimbo wa Bado wa Harmonize na Diamond umetoka kitambo kidogo na video yake ilifanyikia South.
Nachojiuliza ilikuwaje Ali Kiba na Ommy Dimpoz wakaamua nao wakafanyie video eneo lile lile walilofanyia kina Diamond, tena wao kina Kiba wakashoot usiku!!?
Najiuliza swali la kizushi tu.
Povu la Arial hili.Kiba anaamini sana kwenye ushirikina.. Hapo kuna imani fulani za giza na pete yake ya kijani ile. South yote hakuona location ila hapo tu.
We mpiga ramli eehKiba anaamini sana kwenye ushirikina.. Hapo kuna imani fulani za giza na pete yake ya kijani ile. South yote hakuona location ila hapo tu.
We si umeuliza swali la kizushi ama? Hivi unapata wapi muda wa kudadisi hizi picha kwa undani zaidi,mambo mengine yakupite juu juuHapana sio uzushi mkuu. Ebu tazama mwenyewe . Labda kwa kuwa mida ni tofaut ndio maana uhoni tofauti.