Uchaguzi 2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

Issue mbona simple tu: ALIJISALIMISHA NA KUUNGA MKONO JUHUDI.. KWISHA!!

... na kuchangia fungu la kumi toka katika neema ya ACACIA kwenye kusanyo la maduhuli β€œmaalum” ya muafaka (plea bargain).
 
Meko hajawahi kujielewa alikuja na lugumi,mpka leo kamshindwa kaamua kunyuti...huyo deo ni jinga tu utajiri wote huo ukasubirie posho za bungeni

Usimuite mjinga labda kama hujui umuhimu wa karata ya siasa katika nchi hii. Unadhani, kwa mfano, joka lenye makengeza au Riz 1 wako bungeni kusubiri posho? Unakulaje mabilioni ya ACACIA kwa amani usipokuwa na nembo ya watawala?
 
Okay. Panua uwanja wa kuelewa mambo. Pia kama huna uhakika sana wa jambo, just buy time before putting your comments in public.
Nataka kukuuliza Deo Mwanyika amewahi kuwa AG ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…