Uchaguzi 2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

Hata mwenyezi Mungu hutusamehe makosa yetu tunapokwenda kutubu na kutokurudia makosa na kwa sababu yeye ndio muumba hata tunapokosea tena huwa anatusakehe itakuwa CCM isiwasamehe viongozi waliofanya makosa?

Fanya makosa at your own risk, JPM akikugundua anapasua jipu.
 
Bora kuozea jela ukiwa msafi kuliko kuozea uraiani ukiwa mchafu.
 
vita dhidi ya ufisadi nchini ni usanii!.

Umesahau tuliambiwa kuwa Andengenye Amesaini mkataba wa kifisadi wa matriolini ya hela, leo yuko wapi?, badala ya kuwa jela sasa hivi ni mkuu wa mkoa wa kigoma!
Nchii tuna mfalme Juha na mfalme wa challte anaamua kusamehe anemtaka na kuua anemtaka
 
Kwanini haujiulizi Wizi uliokuwa umegunduliwa , kwamba uligunduliwa na nani?
Au umekuwa too much Centered
 
Kwanini haujiulizi Wizi uliokuwa umegunduliwa , kwamba uligunduliwa na nani?
Au umekuwa too much Centered
Twende kwenye topic.
Wizi wa Acacia ulikuwepo kwa sababu ya sheria mbovu zilitungwa na kupitishwa na wabunge wengi wa CCM akiwemo Magufuli .
Wizi wa kukwepa uligunduliwa na serikali..serikali kupitia mhimili wa mahakama ukamkuta na hatia deo Mwanyika ukamfunga au kumwamuru kulipa faini ya bilioni 2 ..Je mtu ambae amehukumiwa kukwepa kulipa kodi anafaa kwel kuwa kiongoz japo kuwa sheria ya UCHAGUZ inakubali ikiwa ametumika kifungo chini ya miez 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…