Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni deo sanga aliyekuwa kiongozi wa singida unitedYule wa Njombe mjini nadhani ni DEO SANGA na sio huyo Mwanyika
Au huyu mwanyika pale Mgodini alikuwa ni Afisa Kificho(undercover) au alikuwa Afisa Kipenyo (penetration officer) au ndo kama yule DSO wa Ngorongoro alokamatwa na kwa kuhongwa magari na Mwarabu na hatujasikia tena kesi yake.[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]hawa watu wawiliKama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi.
Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake ambayo ilikuja kufanya kazi Sept 2017 kuwa kuna wasaliti katika vita na wanajeshi wanajua msaliti wanamfanyaje?.
Ikiwa mtu alihukumiwa palipo shaka kuwa alikwepa kulipa kodi na kupigwa ya bilioni 2 je kwa hayo makando ya uhujumu uchumi na kukwepa kulipa kodi na kuhukumiwa bado anafaa.
Au huyu mwanyika pale Mgodini alikuwa ni Afisa Kificho(undercover) au alikuwa Afisa Kipenyo (penetration officer) au ndo kama yule DSO wa Ngorongoro alokamatwa na kwa kuhongwa magari na Mwarabu na hatujasikia tena kesi yake.
Sitaki kusemea sheria na katiba ila naomba tusemee utamaduni wetu na Rais wetu anaepambana na mafisadi ni kweli Mkuu anapambana na mafisadi majizi na wala rushwa au ni selective nani aachwe nani afungwe.
Kama niliyemsema siye na majina yamefanana nitangulize msamaha.
Mzee huenda elimu yako ni kama yangu darasa la 7 lkn uelewa wangu na wako ni tofaut...picha bila caption ni sawa na kichwa bila ubongo
Huyo ni mbwamwitu hafai kabisa kuwatumikia watz ktk nafasi yeyote waliopiga kazi migodi yote tanzu ya barrick waulize wakusimulie alivyonyonga masilahi ya wafanyakazi kwa manufaa yake na mkaburu!Personally namfahamu Deo, sijui huko kwenye makashfa ya Acacia Kama Kuna ukweli au lah, Ila ni mmoja wa watu nilio enjoy nao kufanya kazi nae, ana utu na ana vinasaba vyote vya kutosha kua kiongozi, nimefurahi kuona anasimama Njombe, na ni mtu anaekubalika mno, Hilo Jimbo tayari Deo ni mbunge,
Namuombea mafanikio awe sehemu ya mawaziri endapo ccm watachukua nchi.
Ukikosea ukaanza kuwaamini tu, utaingia kwenye mtego wa shetani, utaishia kuwasujudia.Sijawahi kuwaamini CCM! Sina sababu ya kuwaamini hata chembe
na kanuni za uchaguzi hazimruhusu kugombea kwa kuwa miaka mitano haijapitaMhongo hajathibishwa kisheria kama ni mhalifu ila kisiasa lkn huyu Deo Mwanyika mahakama ilimkuta na hatia na akalipa faini ya bilioni 2.
Shida TISS ya huku ndugu wanatumika na CCM...MI6 FBI CIA MOSAD haziwez kupeleka hao watu wawili kwa maslah ya chama isipokuwa kwa maslah ya nchi.Au huyu mwanyika pale Mgodini alikuwa ni Afisa Kificho(undercover) au alikuwa Afisa Kipenyo (penetration officer) au ndo kama yule DSO wa Ngorongoro alokamatwa na kwa kuhongwa magari na Mwarabu na hatujasikia tena kesi yake.[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]hawa watu wawili
Afisa kificho na afisa kipenyo ukifanikiwa kuona list yao kuna watu ukikutana nao unaweza kuwakimbia ..hata huko upinzani wamejazana
Ccm wote rushwa mbeleKama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi.
Huyu Mwanyika ndo Rais aliyetutangazia kuwa amawasiliano na wanasiasa wa upinzani ili wamuhujumu hadi kutoa ile kauli yake ambayo ilikuja kufanya kazi Sept 2017 kuwa kuna wasaliti katika vita na wanajeshi wanajua msaliti wanamfanyaje?.
Ikiwa mtu alihukumiwa palipo shaka kuwa alikwepa kulipa kodi na kupigwa ya bilioni 2 je kwa hayo makando ya uhujumu uchumi na kukwepa kulipa kodi na kuhukumiwa bado anafaa.
Au huyu mwanyika pale Mgodini alikuwa ni Afisa Kificho(undercover) au alikuwa Afisa Kipenyo (penetration officer) au ndo kama yule DSO wa Ngorongoro alokamatwa na kwa kuhongwa magari na Mwarabu na hatujasikia tena kesi yake.
Sitaki kusemea sheria na katiba ila naomba tusemee utamaduni wetu na Rais wetu anaepambana na mafisadi ni kweli Mkuu anapambana na mafisadi majizi na wala rushwa au ni selective nani aachwe nani afungwe.
Kama niliyemsema siye na majina yamefanana nitangulize msamaha.
Wapinzani wake watakuwa wapumbavu kama watashindwa kumwekea pingamizi.Personally namfahamu Deo, sijui huko kwenye makashfa ya Acacia Kama Kuna ukweli au lah, Ila ni mmoja wa watu nilio enjoy nao kufanya kazi nae, ana utu na ana vinasaba vyote vya kutosha kua kiongozi, nimefurahi kuona anasimama Njombe, na ni mtu anaekubalika mno, Hilo Jimbo tayari Deo ni mbunge,
Namuombea mafanikio awe sehemu ya mawaziri endapo ccm watachukua nchi.
Wewe ndiye una mihemko ya kitoto unabisha jambo usilolijua hivi huna aibu kila siku kutoa boko humu.PUNGUZA MIHEMKO NA UONGO. WA NJOMBE NI DEO SANGA NA WA ACACIA NI DEO MWANYIKA.
Zinamhurusu kwa kuwa aliingia makubaliano na DPP hivo hakuhukumiwa isipokuwa alilipa bilioni 1.5 kwanzana kanuni za uchaguzi hazimruhusu kugombea kwa kuwa miaka mitano haijapita
Namshangaa jamaa ana smart phone hajui hata ku-search information mitandaoni anachojua yeye ni kutukuna tu.Wewe ndiye una mihemko ya kitoto unabisha jambo usilolijua hivi huna aibu kila siku kutoa boko humu.
Hata wakimwekea yatatupwa yupo chama cha mfalme...yeye mwenyew binafs n mwanasheria itakuwa alishaona sheria ina gap juu yake .Wapinzani wake watakuwa wapumbavu kama watashindwa kumwekea pingamizi.
Tuliza mhemko Deo Sanga a.k.a Jah People ni Makambako. Na huyu ni Njombe MjiniPUNGUZA MIHEMKO NA UONGO. WA NJOMBE NI DEO SANGA NA WA ACACIA NI DEO MWANYIKA.
Bado unabisha tu?