Uchaguzi 2020 Ilikuwaje Deo Mwanyika wa ACACIA aliyehukumiwa kwa Uhujumu Uchumi achaguliwe na CCM kugombea Ubunge Njombe Mjini?

Au huyu mwanyika pale Mgodini alikuwa ni Afisa Kificho(undercover) au alikuwa Afisa Kipenyo (penetration officer) au ndo kama yule DSO wa Ngorongoro alokamatwa na kwa kuhongwa magari na Mwarabu na hatujasikia tena kesi yake.[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]hawa watu wawili
Afisa kificho na afisa kipenyo ukifanikiwa kuona list yao kuna watu ukikutana nao unaweza kuwakimbia ..hata huko upinzani wamejazana
 
Huyo ni mbwamwitu hafai kabisa kuwatumikia watz ktk nafasi yeyote waliopiga kazi migodi yote tanzu ya barrick waulize wakusimulie alivyonyonga masilahi ya wafanyakazi kwa manufaa yake na mkaburu!
 
Shida TISS ya huku ndugu wanatumika na CCM...MI6 FBI CIA MOSAD haziwez kupeleka hao watu wawili kwa maslah ya chama isipokuwa kwa maslah ya nchi.

Ndoo maana juzi Trump alioomba speech yake ya kichama aongelee Ikulu tena pembeni kidg kwa sababu ya corona lkn huku Magu kila leo yupo na wajumbe wa CCM Ikulu kwa shughuli za CHAMA.

N kwel Afisa Kificho Afisa mpenyo Afisa mtoko Afisa propoganda (dawat la P) wapo vym vya upinzani ila kwa maslah ya nani?
Sio ya Taifa ila ya CCM.
 
Ccm wote rushwa mbele
 
Wapinzani wake watakuwa wapumbavu kama watashindwa kumwekea pingamizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…