Ilikuwaje fedha za kununulia ndege zikaingizwa kwenye akaunti nyingine kabla ya kulipwa kampuni husika ya kutengeneza ndege?

naapa nitaitumikia jmt kwa moyo wangu wote nitairinda na kuitetea katiba ya jmt
na pia nitahakikisha nawamaliza wachagga wote serikalini na kuwaingiza wasu.kumma
kwakua hii ni zamu yao ee mwenyezi nisaidie
Duu!! Ongeza sauti haitoshi!
 
Huyu rais ni fisadi mwizi anayejigicha kwenye kichaka cha uzalendo fake
 
Kama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali
 
Namshauri Mhe. Waziri wa Fedha amjibu Mhe. Zitto kwa tuhuma zake zisizo na mashiko.
 
Namshauri Mhe. Waziri wa Fedha amjibu Mhe. Zitto kwa tuhuma zake zisizo na mashiko.
Tuhuma zipi? Zitto anajua taratibu za manunuzi, Ila anaitaka kuzuga watu,
 
Kwenye chenji ya Radar hizo international procurement procedures hazikufuatwa?. Hata Wazungu they are essentially very corrupt
Kama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye chenji ya Radar hizo international procurement procedures hazikufuatwa?. Hata Wazungu they are essentially very corrupt

Sent using Jamii Forums mobile app
Chenji ya rader ilikuwa na mapungufu yake, wao ndio waliotukopesha fedha wakanunua wenyewe kwa Bei wapioitaka wao,
 
Mnunuzi na mtoto wa dada yake ndio wanaojua maana hata risiti hatukuonyeshwa
 
Kama hujui international procurement procedure omba msaada wakueleweshe Kuna kitu kinaitwa Letter of credit, bill of landing, bank guarantee, ukivielewa hivyo hautauliza Hilo swali
Nasita kuiamini habari hii sababu chanzo hakijawekwa wazi. Kama ni suala lipo kwenye ripoti ya CAG kwani ni siri ya hali ya juu ile(top secret?) Ingesaidia sana mleta uzi akafunguka zaidi

Hata hivyo manunuzi haya ya ndege yamekua na maswali mengi kuliko majibu. Hili lingeweza kumalizwa na serikali yenyewe kutoa ufafanuzi wa namna taratibu za manunuzi zilivyofanyika

Procurement Act ya 2004 na marekebisho yake yote imevunjwa kwa asilimia 100. Sasa hapa BG(Bank Guarantee), LC(letter of Credit) havihusiani na ile biashara ya cash. Pia sijui kwanini umeweka issue ya Bill of Lading kwenye suala hili
 
Hii biashara ya cash ilituacha wengine vinywa wazi, anyway wacha tubaki kuwa wasikilizaji na watazamaji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…