Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prof ni Dokta vile vile.Kwa nini sasa tunaendelea kumwita Dr. Kikwete ilhali tayari ni Prof. Kikwete?
Unajua waswahili kwa kupenda title hatuachwi nyuma: Basi iwe hivi: His Excellency, Professor, Dr, Retired President, Colonel Kikwete.Prof ni Dokta vile vile.
Waswahili tunasumbuliwa sana na title, na wachina walikuwa wanatafuta kitu hapo. Ni mwaka 2014, unaweza kujua kuna mikataba mingapi ilisainiwa na wachina baada ya title hiyo.Mwalimu...hata mimi nimepitwa hapa. Labda atakuwa anafundisha mara mojamoja
HahaUnajua waswahili kwa kupenda title hatuachwi nyuma: Basi iwe hivi: His Excellency, Professor, Dr, Retired President, Colonel Kikwete.
Unakumbuka His Excellency, President for Life, Field Marshal Alhaji Doctor Idi Amin Dada, VC, DSO, MC, CBE, Lord of All the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas and Conqueror of the British Empire in Africa in General and Uganda in Particular, Uncrowned King of Scotland and Professor of Geography.
Waswahili kwa title hatujambo; leo hii mke wangu akijifungua mtoto tukamwita Mchwa, basi itabidi nipewe title kuonyesha kuwa nina mtotot anaitwa Mchwa kwa kuitwa ya Baba Mchwa!
Waswahili tunasumbuliwa sana na title, na wachina walikuwa wanatafuta kitu hapo. Ni mwaka 2014, unaweza kujua kuna mikataba mingapi ilisainiwa na wachina baada ya title hiyo.
Kilimo kwanzaView attachment 2200651
View attachment 2200653
View attachment 2200654
Je Wachina walikuwa wanatafuta kitu gani hapa ? ? ? Maisha yangu yote ya academia sijawahi kusikia kitu kinaitwa honorary professorship!
Alisemaje?Kasema Makongoro juzi .km mlimsikia
Sikiliza speech aliyotoa kumuaga miaka 100 babaake.Alisemaje?
Mwingine naye yupo njiani.View attachment 2200651
View attachment 2200653
View attachment 2200654
Je Wachina walikuwa wanatafuta kitu gani hapa ? ? ? Maisha yangu yote ya academia sijawahi kusikia kitu kinaitwa honorary professorship!