Ilikuwaje Jeshi la Polisi nchini likamvumulia "gaidi" Mbowe bila kumkamata tokea mwaka Jana walipogundua njama zake za ugaidi?

Nakuunga mkono. Unakumbuka hata Kambona alipanga uhaini japo alikuwa serikali tena waziri. Mbowe kuwa mwanasiasa haina maana hawezi fanya makosa. kama ulivoshauri ni kweli tusubiri ushahidi mahakamani kila kitu kitakuwa wazi.
 
Alipanga kuwaua viongozi,
Waliotaka kumuua Nape akiwa kiongozi hawakuwa Magaidi ndani ya CCM?
Waliomuwekea sumu Mangula hawakuwa magaidi ndani ya CCM?
Mpaka sasa mataifa ya nje yangekuwa yameamuru maafisa wao balozini kurejea makwao kwa hatari iliyopo.
Sasa wameungana na wananchi kusikiliza kesi ya Gaidi.
Aibu kwa nchi yetu
 
Kama ukimsikiliza anayejiita "kamanda" Sirro, na kushikilia kile anachokieleza kwa umma, bac jipeleke milembe ukaanzishiwe dawa, huy asiwasumbue akil, hyo ni trick ya kupoza juhud za upatikanaj wa katiba mpya
 
Usije ukamuamini mwana ccm yeyote
 
Tumeambiwa kesi hii ni ya kiuchumi,kisheria kisiasa unapoamua kupigana vita unatakiwa uwe na chakula cha kutosha na fedha za kutosha je wamejipanga? kwakutumia 'IPYANA analysis' uchumi utashuka na hitaji la katiba mpya litaongozeka
 
Yaani serikali hii ya CCM inaendeshwa kiusanii mtupu😄
 
Eti Mbowe apange kufanya ugaidi kiboya hivyo Sirro ni mouuzi sana, ukimsikiliza unaweza kufikiri ni mtu wa maana sana kumbe fara tu
 
Ulitaka akamatwe akiwa msalani, au? Maana hata angekuwa kanisani ungeuliza kwanini akamatwe akiwa kwenye ibada! Kwani ni mpaka wakati gani Gaidi anakamatwa?
Kinachoshangaza ktk ukamataji huu ni kuwa makosa yamepangwa mwezi Mei hadi Agoast 2020, hakuna vituo vilivyolipuliwa au kushambulia mikusanyiko ya watu, baada ya mwaka unamkamta mtu kuelekea Kongamano la Katiba.
Naungana na wale wenye mashaka ktk mashtaka haua
 
Kabugula
Hata waliomiminia risasi Tundu Lissu, Polisi hawajawahi kuwakamata na kuwapeleka mahakamani kwa mashitaka ya ugaidi!
 
Hii nchi ukitaka kujua una tuhuma, chezea maslahi ya watawala. JPM aliwahi kusema "Atakayetaka kutukwamisha tutamharibu"
 
Hakika kwa kila mwenye akili, atagundua kuwa makosa ya ugaidi anayotuhumiwa nayo Mbowe ni ya kubambika
 
Sijui kwanini waafrika wana akili ndogo namna hii, hasa mapolisi ya tanzania akili zote ziko masaburini hata kama umesoma bado ziko hukohuko masaburini
 
Siku itafika tutawaona magaidi Tanzania siku zote zaidi ana target taasisi za serekali sio vituo vya tafuta vya watu binafsi,.Sirri muogope mungu wako
 
Hapa ndo nashindwa kuwaelewa nyinyi! Jibu hapa ni kwamba Polisi walipo jua kuwa Njama hizi zipo, wakafanya upelelezi zaidi kuona ni nani ana husika (upelelezi mpaka kujiridhisha haiwezi chukua muda mchache! Pia ilibidi wazuie madhara yaliyokusudiwa yasi tekelezwe ndiyo maana hatukusikia milipuko yoyote! Na walipo kuwa na vielelezo vya kutosha baada ya muda, ndipo wakamkamata Mbowe - lakini ukumbuke wenzake walisha kamatwa! Yeye hakuunganishwa haraka kwa sababu kufadhili ugaidi siyo rahisi kuproove kirahisi- uchunguzi usiotia shaka ulipaswa kufanyika.
Kwa nini alikamatwa Mwanza? - Mbowe ni active politician and very mobile - hivyo atakapo kamatwa atakuwa anafanya shughuli muhimu ya chama chake! Kama siyo Mwanza, ingekuwa Kigoma etc. Kama siyo katiba mpya, huenda ingekuwa tume huru, au kushinikiza mikutano ya hadhara etc.
Kwa hiyo maswali mnayo uliza yananishangaza! PIA NA MIMI NASHANGAA MBOWE KUHUSISHWA NA UGAIDI - I DON'T THINK HE IS THAT STUPID!
 
Hivi Kabudi yupo? Alikuwa anatamba sana enzi za Kayafa.
 
Hawapolisi wanacho ogopa ni katiba. Katiba itawapa wakati mgumu kutumikia wakubwa wao.
Ila ni swala LA muda tu, katiba mpya ni lazima. Najua watawala wakishindwa kwa nguvu za kijeshi na mahakama kama hivi, watageukia figisu kwenye uundwaji wa jamati ya marejebisho hayo ya katiba. Werevu tunalijua hilo na tunawaza maili mia mbele yao.
Awamu ya kuzuia kutumia jeshi hii tunawazoom tu. Ila ile ya kutumia akili, ndo watajua hawana akili.
 
Huyu mama hana akili.
Alianza vizuri, CCM walafi wamemdanganya kuwa akiwanyanyasa wapinzani ndo atatawala vizuri kumbe wenzie wanamcheza shere ili aonejane kuwa hana tofauti na Mwendazake mbele za kimataifa ili nayeye aharibikiwe.
 
Huyu mama hana akili.
Alianza vizuri, CCM walafi wamemdanganya kuwa akiwanyanyasa wapinzani ndo atatawala vizuri kumbe wenzie wanamcheza shere ili aonejane kuwa hana tofauti na Mwendazake mbele za kimataifa ili nayeye aharibikiwe.
Na tayari ameshaharibu!!na atakuwa na uongozi mgumu sana, kwani huku unataka kurudisha imani kwa wawekezaji/wafadhiri huku unaibua vioja tena, kama vya meko!!ukiangalia hata teuzi zake ni kama zile za sandakalawe tu bila kuzingatia uwezo wa watu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…