Ilikuwaje Jeshi la Polisi nchini likamvumulia "gaidi" Mbowe bila kumkamata tokea mwaka Jana walipogundua njama zake za ugaidi?

Ilikuwaje Jeshi la Polisi nchini likamvumulia "gaidi" Mbowe bila kumkamata tokea mwaka Jana walipogundua njama zake za ugaidi?

Ninavyoona kelele nyingi za shinikizo la kumuachia Mwenyekiti wa kudumu zitasababisha aendelee kushikiliwa na kuimarisha ushahidi kwani akiachiwa tu wataleta Yale maneno ya wametuogopa nk.jambo ambalo litaleta mtindo wa mazoea ambao kesho yake hatakuwa salama.

Endapo Polisi wataamua kujibu hoja au kuweka ushahidi kwenye kila mitandao ya kijamii wataharibu ushahidi na watakuwa wamekiuka Sheria ya ushahidi.

Ni vigumu sana kuamini hasa Katika mambo ambayo hatuna ujuzi nayo mfano kufadhili ugaidi ni aina ya makosa ambayo yanaweza kufanywa na watu ambao huwezi kuwadhania muhimu ni kusubiri ushahidi utakao tolewa mahakamani ili tuuchambue nje ya mahakama hata kama wataweka zile technicality zao za kisheria bado tunauwezo wa kutambua mbichi na mbivu
Nakuunga mkono. Unakumbuka hata Kambona alipanga uhaini japo alikuwa serikali tena waziri. Mbowe kuwa mwanasiasa haina maana hawezi fanya makosa. kama ulivoshauri ni kweli tusubiri ushahidi mahakamani kila kitu kitakuwa wazi.
 
Alipanga kuwaua viongozi,
Waliotaka kumuua Nape akiwa kiongozi hawakuwa Magaidi ndani ya CCM?
Waliomuwekea sumu Mangula hawakuwa magaidi ndani ya CCM?
Mpaka sasa mataifa ya nje yangekuwa yameamuru maafisa wao balozini kurejea makwao kwa hatari iliyopo.
Sasa wameungana na wananchi kusikiliza kesi ya Gaidi.
Aibu kwa nchi yetu
 
Kwa taarifa tunayopewa na Jeshi la Polisi nchini, kuhusu tuhuma za ugaidi zinazomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ni kuwa alipanga njama za kulipua vituo vya mafuta, Katika hoteli yake ya Aishi, iliyopo huko mkoani Kilimanjaro, Kati ya mwezi May na August mwaka Jana

Swali la kwanza ninalowauliza hao Polisi wetu ni kwanini huku mkijua kuwa "gaidi" Mbowe, alipanga njama za kulipua vituo vya mafuta nchini, tokea mwaka Jana, mkamuachia akawa anaendelea na shughuli zake, hadi majuzi wakati anaandaa kongamano la Katiba mpya ndiyo mkamkamata?

Kama jukumu lenu na 1 nchini ni kuhakikisha usalama wa raia na mali zao, je kwa kumwachia "gaidi" Mbowe atanue anavyotaka, hivi hamjui hatari kubwa mno mliosababisha wa usalama wa raia n a mali zao wa nchi hii?

Swali la pili kwa hao Polisi wetu, iwapo ni kweli kuwa "gaidi" Mbowe alipanga njama za kulipua vituo vya mafuta, ni kwanini hamjakitaja angalau kituo kimoja, Kati ya hivyo vilivyopangwa kulipuliwa?

Swali la tatu ninalowauliza hao Polisi wetu, mmetueleza kuwa "gaidi" Mbowe alikuwa akifadhili vitendo hivyo vya kigaidi, lakini hamkutujulisha ni kwa kiwango gani cha pesa alichofadhili Katika kipindi hicho?

Kama kweli Jeshi la Polisi linao huo ushahidi, kama alivyojitapa IGP Sirro, tunaliomba Jeshi hilo lijitokeze hadharani na kunijibia maswali yangu hayo

Ni dhahiri kama Jeshi la Polisi lisipojitokeza hadharani na kunijibia maswali yangu, basi wananchi tulio wengi tutaamini kuwa kesi hii ni ya kisiasa na ya kubambika
Kama ukimsikiliza anayejiita "kamanda" Sirro, na kushikilia kile anachokieleza kwa umma, bac jipeleke milembe ukaanzishiwe dawa, huy asiwasumbue akil, hyo ni trick ya kupoza juhud za upatikanaj wa katiba mpya
 
Huyu Rais Samia Suluhu Hassan, "amebugi step" Sana Katika suala hili la Mbowe, wakati yeye mwenyewe tulimsikia akiwaonya hao Polisi wake, waache kuwabambikia kesi raia wasio na hatia, wakati huo huo yeye mwenyewe "anabariki" kubambikiwa kwa kesi ya ugaidi kwa Mbowe!
Usije ukamuamini mwana ccm yeyote
 
Nakwambia mwisho wa hii kesi ni aibu kwa watawala, nadhani hadi sasa wanafikiria waitose vipi kwani, kinachoendelea sasa ni aibu, na imemuondolea sana mama points, kwa wananchi!!kwani IGP, akauaminisha umma kuwa ushahidi umekamilika, juzi mahakamani hao hao tena wanasema ushahidi bado!!hivi kweli mwendazake alivyokuwa na chuki na mbowe kwa tuhuma hizi angemuacha kweli?!!kwani hao anaohusishwa nao wako ndani muda mrefu tu!!mala kutaka kuwaua viongozi ila hilo kosa kwa sasa halipo!!
Ni suala la muda tu na ndio maana unaona hata mabeberu yapo mahakamani, yanaifuatilia kwa karibu sana, usije shangaa kabla hata ya hukumu wakaona isiwe shida DPP, tumia mamlaka yako, ili ionekane serikali ni wasafi!!!kweli tatizo la nchi hii wala sio kiongozi bali ni li CHAMA LENYEWE!!hata umuweke maraika , wakati waliomzunguka ni kama mzee wa hamieni BURUNDI, atakuwa shetani tu!!!na MWENDAZAKE MASALIA, wanafurahia tu, kwani mama alianza kupendwa sana na wapinzani, na ccm wachache, sasa huku ameshaanza kuwatia mashaka, MWENDAZAKE MASALIA, wao wanazidi kuchochea kuni tu, ili azidi kuharibikiwa na maono yao yaonekane sahihi kuwa Mama hakuwa na uwezo wa kuongoza kama wanavyodai!!Ndio maana kila kitu kikitokea utawasikia angekuwepo meko hiki kisingepanda bei!!!Ila kwa hili la Mbowe wamejichanganya sana!!unasema kesi za kubambikiza zote ziishe , hapo hapo mnaanzisha nyingine mpya?!!
Tumeambiwa kesi hii ni ya kiuchumi,kisheria kisiasa unapoamua kupigana vita unatakiwa uwe na chakula cha kutosha na fedha za kutosha je wamejipanga? kwakutumia 'IPYANA analysis' uchumi utashuka na hitaji la katiba mpya litaongozeka
 
Alipanga kuwaua viongozi,
Waliotaka kumuua Nape akiwa kiongozi hawakuwa Magaidi ndani ya CCM?
Waliomuwekea sumu Mangula hawakuwa magaidi ndani ya CCM?
Mpaka sasa mataifa ya nje yangekuwa yameamuru maafisa wao balozini kurejea makwao kwa hatari iliyopo.
Sasa wameungana na wananchi kusikiliza kesi ya Gaidi.
Aibu kwa nchi yetu
Yaani serikali hii ya CCM inaendeshwa kiusanii mtupu😄
 
Eti Mbowe apange kufanya ugaidi kiboya hivyo Sirro ni mouuzi sana, ukimsikiliza unaweza kufikiri ni mtu wa maana sana kumbe fara tu
 
Ulitaka akamatwe akiwa msalani, au? Maana hata angekuwa kanisani ungeuliza kwanini akamatwe akiwa kwenye ibada! Kwani ni mpaka wakati gani Gaidi anakamatwa?
Kinachoshangaza ktk ukamataji huu ni kuwa makosa yamepangwa mwezi Mei hadi Agoast 2020, hakuna vituo vilivyolipuliwa au kushambulia mikusanyiko ya watu, baada ya mwaka unamkamta mtu kuelekea Kongamano la Katiba.
Naungana na wale wenye mashaka ktk mashtaka haua
 
Alipanga kuwaua viongozi,
Waliotaka kumuua Nape akiwa kiongozi hawakuwa Magaidi ndani ya CCM?
Waliomuwekea sumu Mangula hawakuwa magaidi ndani ya CCM?
Mpaka sasa mataifa ya nje yangekuwa yameamuru maafisa wao balozini kurejea makwao kwa hatari iliyopo.
Sasa wameungana na wananchi kusikiliza kesi ya Gaidi.
Aibu kwa nchi yetu
Kabugula
Hata waliomiminia risasi Tundu Lissu, Polisi hawajawahi kuwakamata na kuwapeleka mahakamani kwa mashitaka ya ugaidi!
 
Hii nchi ukitaka kujua una tuhuma, chezea maslahi ya watawala. JPM aliwahi kusema "Atakayetaka kutukwamisha tutamharibu"
 
Kinachoshangaza ktk ukamataji huu ni kuwa makosa yamepangwa mwezi Mei hadi Agoast 2020, hakuna vituo vilivyolipuliwa au kushambulia mikusanyiko ya watu, baada ya mwaka unamkamta mtu kuelekea Kongamano la Katiba.
Naungana na wale wenye mashaka ktk mashtaka haua
Hakika kwa kila mwenye akili, atagundua kuwa makosa ya ugaidi anayotuhumiwa nayo Mbowe ni ya kubambika
 
Nakwambia mwisho wa hii kesi ni aibu kwa watawala, nadhani hadi sasa wanafikiria waitose vipi kwani, kinachoendelea sasa ni aibu, na imemuondolea sana mama points, kwa wananchi!!kwani IGP, akauaminisha umma kuwa ushahidi umekamilika, juzi mahakamani hao hao tena wanasema ushahidi bado!!hivi kweli mwendazake alivyokuwa na chuki na mbowe kwa tuhuma hizi angemuacha kweli?!!kwani hao anaohusishwa nao wako ndani muda mrefu tu!!mala kutaka kuwaua viongozi ila hilo kosa kwa sasa halipo!

Ni suala la muda tu na ndio maana unaona hata mabeberu yapo mahakamani, yanaifuatilia kwa karibu sana, usije shangaa kabla hata ya hukumu wakaona isiwe shida DPP, tumia mamlaka yako, ili ionekane serikali ni wasafi!!!kweli tatizo la nchi hii wala sio kiongozi bali ni li CHAMA LENYEWE!!hata umuweke maraika , wakati waliomzunguka ni kama mzee wa hamieni BURUNDI, atakuwa shetani tu!

Na MWENDAZAKE MASALIA, wanafurahia tu, kwani mama alianza kupendwa sana na wapinzani, na ccm wachache, sasa huku ameshaanza kuwatia mashaka, MWENDAZAKE MASALIA, wao wanazidi kuchochea kuni tu, ili azidi kuharibikiwa na maono yao yaonekane sahihi kuwa Mama hakuwa na uwezo wa kuongoza kama wanavyodai!

Ndio maana kila kitu kikitokea utawasikia angekuwepo meko hiki kisingepanda bei!!!Ila kwa hili la Mbowe wamejichanganya sana!!unasema kesi za kubambikiza zote ziishe , hapo hapo mnaanzisha nyingine mpya?!!
Sijui kwanini waafrika wana akili ndogo namna hii, hasa mapolisi ya tanzania akili zote ziko masaburini hata kama umesoma bado ziko hukohuko masaburini
 
Siku itafika tutawaona magaidi Tanzania siku zote zaidi ana target taasisi za serekali sio vituo vya tafuta vya watu binafsi,.Sirri muogope mungu wako
 
Kinachoshangaza ktk ukamataji huu ni kuwa makosa yamepangwa mwezi Mei hadi Agoast 2020, hakuna vituo vilivyolipuliwa au kushambulia mikusanyiko ya watu, baada ya mwaka unamkamta mtu kuelekea Kongamano la Katiba.
Naungana na wale wenye mashaka ktk mashtaka haua
Hapa ndo nashindwa kuwaelewa nyinyi! Jibu hapa ni kwamba Polisi walipo jua kuwa Njama hizi zipo, wakafanya upelelezi zaidi kuona ni nani ana husika (upelelezi mpaka kujiridhisha haiwezi chukua muda mchache! Pia ilibidi wazuie madhara yaliyokusudiwa yasi tekelezwe ndiyo maana hatukusikia milipuko yoyote! Na walipo kuwa na vielelezo vya kutosha baada ya muda, ndipo wakamkamata Mbowe - lakini ukumbuke wenzake walisha kamatwa! Yeye hakuunganishwa haraka kwa sababu kufadhili ugaidi siyo rahisi kuproove kirahisi- uchunguzi usiotia shaka ulipaswa kufanyika.
Kwa nini alikamatwa Mwanza? - Mbowe ni active politician and very mobile - hivyo atakapo kamatwa atakuwa anafanya shughuli muhimu ya chama chake! Kama siyo Mwanza, ingekuwa Kigoma etc. Kama siyo katiba mpya, huenda ingekuwa tume huru, au kushinikiza mikutano ya hadhara etc.
Kwa hiyo maswali mnayo uliza yananishangaza! PIA NA MIMI NASHANGAA MBOWE KUHUSISHWA NA UGAIDI - I DON'T THINK HE IS THAT STUPID!
 
Hivi Kabudi yupo? Alikuwa anatamba sana enzi za Kayafa.
 
Hawapolisi wanacho ogopa ni katiba. Katiba itawapa wakati mgumu kutumikia wakubwa wao.
Ila ni swala LA muda tu, katiba mpya ni lazima. Najua watawala wakishindwa kwa nguvu za kijeshi na mahakama kama hivi, watageukia figisu kwenye uundwaji wa jamati ya marejebisho hayo ya katiba. Werevu tunalijua hilo na tunawaza maili mia mbele yao.
Awamu ya kuzuia kutumia jeshi hii tunawazoom tu. Ila ile ya kutumia akili, ndo watajua hawana akili.
 
Nakwambia mwisho wa hii kesi ni aibu kwa watawala, nadhani hadi sasa wanafikiria waitose vipi kwani, kinachoendelea sasa ni aibu, na imemuondolea sana mama points, kwa wananchi!!kwani IGP, akauaminisha umma kuwa ushahidi umekamilika, juzi mahakamani hao hao tena wanasema ushahidi bado!!hivi kweli mwendazake alivyokuwa na chuki na mbowe kwa tuhuma hizi angemuacha kweli?!!kwani hao anaohusishwa nao wako ndani muda mrefu tu!!mala kutaka kuwaua viongozi ila hilo kosa kwa sasa halipo!

Ni suala la muda tu na ndio maana unaona hata mabeberu yapo mahakamani, yanaifuatilia kwa karibu sana, usije shangaa kabla hata ya hukumu wakaona isiwe shida DPP, tumia mamlaka yako, ili ionekane serikali ni wasafi!!!kweli tatizo la nchi hii wala sio kiongozi bali ni li CHAMA LENYEWE!!hata umuweke maraika , wakati waliomzunguka ni kama mzee wa hamieni BURUNDI, atakuwa shetani tu!

Na MWENDAZAKE MASALIA, wanafurahia tu, kwani mama alianza kupendwa sana na wapinzani, na ccm wachache, sasa huku ameshaanza kuwatia mashaka, MWENDAZAKE MASALIA, wao wanazidi kuchochea kuni tu, ili azidi kuharibikiwa na maono yao yaonekane sahihi kuwa Mama hakuwa na uwezo wa kuongoza kama wanavyodai!

Ndio maana kila kitu kikitokea utawasikia angekuwepo meko hiki kisingepanda bei!!!Ila kwa hili la Mbowe wamejichanganya sana!!unasema kesi za kubambikiza zote ziishe , hapo hapo mnaanzisha nyingine mpya?!!
Huyu mama hana akili.
Alianza vizuri, CCM walafi wamemdanganya kuwa akiwanyanyasa wapinzani ndo atatawala vizuri kumbe wenzie wanamcheza shere ili aonejane kuwa hana tofauti na Mwendazake mbele za kimataifa ili nayeye aharibikiwe.
 
Na tayari ameshaharibu!!na atakuwa na uongozi mgumu sana, kwani huku unataka kurudisha imani kwa wawekezaji/wafadhiri huku unaibua vioja tena, kama vya meko!!ukiangalia hata teuzi zake ni kama zile za sandakalawe tu bila kuzingatia uwezo wa watu!!!
 
Back
Top Bottom