Ilikuwaje marais wetu wote wakawa wakatoliki na waislamu tu?

Ilikuwaje marais wetu wote wakawa wakatoliki na waislamu tu?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Baada ya machafuko ya Octoba 29 ndiyo nikagundua kuwa kumbe tangu nchi ipate uhuru marais wote wa Tanzania walikuwa ni Wakatoliki na waislamu. Hii iliwezekana vipi, ni bahati mbaya tu au imeandikwa pahala kama makubaliano? Je, itakuwa hivi hadi lini?
 
Hamna sababu yoyote na haijaandikwa katika katiba

Hawa wakatoliki wasitegemee kupata Rais hivi karibuni

Mwaka 2030-2040 ni RK ndo anakaa hapo
 
Back
Top Bottom