Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Jana nilipata fursa kwenda shule ya sekondari Tosamaganga iliyopo hapa Iringa.
Nilipokuwa pale nikajiuliza ile hoja ya watu kuwa Tanzania inaongozwa kwa kufuata mfumokristo inatokana na nini hasa.
Maana kama Serikali chini ya Mwalimu Julius Nyerere (mkatoliki) ilitaifisha taasisi za Afya, taasisi za Elimu na maeneo kadhaa ya kanisa, huo mfumokristo ulishindwaje kuzuia mali za Kanisa kutaifishwa.
Lakini pia nikajiuliza mali hizo za Kanisa kama zingetaifishwa kijamii tungekuwa wapi kimaendeo?
Mfumokristo ni dhana tu ama ni kitu halisi?