Jana nilipata fursa kwenda shule ya sekondari Tosamaganga iliyopo hapa Iringa.
Nilipokuwa pale nikajiuliza ile hoja ya watu kuwa Tanzania inaongozwa kwa kufuata mfumokristo inatokana na nini hasa.
Maana kama Serikali chini ya Mwalimu Julius Nyerere (mkatoliki) ilitaifisha taasisi za Afya...
Hamuwezi na hamtaweza kuwatingisha kanisa katoliki maana wameshikilia uchumi wa Tanzania kuanzia vyuo, mashule, mahospitali, land . Pesa za kanisa katoliki zikichanganywa zinazidi kampuni zote za uwekezaji Tanzania.
Sasa anafikiri anaweza kuja kuiba uchaguzi na kubadilisha haya. Ataondoka na...
Huu mjadala nimeutoa Facebook tuuchakate kwa mapana yake.
Ni kwa nini taasisi za kanisa zinapotengeneza faida waumini hatuhusishwi na wala hatunufaiki na lolote?
Ukondoo sasa basi, tunatumia akili zetu kwa kila jambo.
=========
INAWEZEKANA KUNUSURU MALI ZA KANISA LA KKKT ZISIPIGWE MNADA NA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.