Hamuwezi na hamtaweza kuwatingisha kanisa katoliki maana wameshikilia uchumi wa Tanzania kuanzia vyuo, mashule, mahospitali, land . Pesa za kanisa katoliki zikichanganywa zinazidi kampuni zote za uwekezaji Tanzania.
Sasa anafikiri anaweza kuja kuiba uchaguzi na kubadilisha haya. Ataondoka na kuacha kanisa na uwekezaji wao sio wa kuanzia leo ni kuanzia miaka ya 1950"s. Msipoteze muda na hawa wanaojifanya vi viongozi wa dini wakati kila siku wapo mitaani wanatafuta wake wapya.
Uchumi wa wakatoliki Tanzania umezidi uchumi wa nchi nzima ya zanzibar!!