Ilikuwaje siku ya kwanza unachangia jambo humu jf ?

Kisai

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
28,481
Reaction score
28,749
Leo niko huku kidogo.

Angalizo !

Kama uzi utakuwa una fanana au umeshawahi kuwekwa humu,ni aula nikakuzwa.

Sina kumbukumbu vizuri,ila nakumbuka ulikuwa uzi fulani unahusu "Cloning" (Nitasahihishwa juu ya anuani ya uzi husika) katika jukwaa la "Jamii Intelligence", nilijitutumua sana siku hiyo,huku kichwani nina mawazo ya kuwa humu kuna vichwa balaa na wako makini sana na ukikosea lazima uwekwe sawa,papo hapo. Hiyo siku nilikuwa makini sana,yaani nilikuwa naandika huku nafuta futa mara kadhaa. Uoga ulinijaa sana siku ile,nahisi ilikuwa ni sababu ya ugeni na kasumba iliyokuwepo kichwani mwangu.
 
Me siku ya kwanza ilikua poa tu
 
Nilivyojiunga tu, ile comment ya kwanza nikashangaa pm zinamiminika. Sikuelewa nini kinaendelea. Ikabidi nitulie kwanza niusome mchezo. Kuna rafiki yangu akaniambia, just ignore usijibu ndivyo walivyo wavulana wa jf.
 
Nilivyojiunga tu JF nikaleta uzi wa kuachwa,manake nilikuwa nimeachwa kipindi kile

Katika comments nilirespond accordingly....aliyenitolea povu nilimtolea povu,aliyekuwa mpole nikawa mpole

Fufua uo uzi tuuone
 
Back
Top Bottom