Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,609
[emoji3][emoji3][emoji3] ulihisi kama anakuonaKuna mwanaume alinichamba jamani na venye ni kapole nilikaa wiki nzima sijaingia humu...
Ikawa kila nikikutana nae nalog out
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3] ulihisi kama anakuonaKuna mwanaume alinichamba jamani na venye ni kapole nilikaa wiki nzima sijaingia humu...
Ikawa kila nikikutana nae nalog out
kweli kabisa umetusaidia sana sisi wafugaji wa kuku siku hizi hatuna haja ya kununua tunakuja tu jf kuchukua kwako free of charge😀😀nilianza kwa kuchangia pumba mpka leo nipo natemaga pumba tu na mashudu.
Acha kabisaa[emoji3][emoji3][emoji3] ulihisi kama anakuona
HahahahahahaDaaaahhh, sikumbuki aisee jinsi nilivyoanza kuchangia.
Ninachokumbuka tu ni kuwa baada ya kujua ili niwe Expert member lazima niwe na post 250, ndio nikaanza kuchangia kila uzi ili nifikishe hizo posts
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi niliwahi kutongozwa PM alidhani mimi ni Ke
Ndio hivyo jirani..Hahahahahaha
Ulijua mengi saana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo ulipatikana
Asante sana jamaniAhahahahaaaaa, pooleeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanaume wa jf wanavojua kutumia fursa sasa
Ilikuwa ni wewe nini???[emoji28]
UngenifundishaaNdio hivyo jirani..
Niliona tu uzi ukiwa unazungumzia rank za member humu, ndio nikaona hiloUngenifundishaa
OohNiliona tu uzi ukiwa unazungumzia rank za member humu, ndio nikaona hilo
Bila shaka ulipoteza vitendea kazi(PC, simu janja) au ulisahau nywila.Nakumbuka nlivyochangia mada, wengine wakaanza tania mtu uko toka 2014, first comment 2019 [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mengi sana nimeyadadisi nilipojoin na kuyajua.Ooh
Ulikuwa mjanja
Sawa jiraniMengi sana nimeyadadisi nilipojoin na kuyajua.
NdiyoIlikuwa ni wewe nini???
Kwa nini eti ulinisema kwa ile id ingineNdiyo