[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwanaume alinichamba jamani na venye ni kapole nilikaa wiki nzima sijaingia humu...
Ikawa kila nikikutana nae nalog out
Umenfanya nikazoom huo uzi mbona sijauona shilawadu mimi[emoji14][emoji12]Nilivyojiunga tu JF nikaleta uzi wa kuachwa,manake nilikuwa nimeachwa kipindi kile
Katika comments nilirespond accordingly....aliyenitolea povu nilimtolea povu,aliyekuwa mpole nikawa mpole
Umenfanya nikazoom huo uzi mbona sijauona shilawadu mimi[emoji14][emoji12]
πππππwanaume wa jf wanavojua kutumia fursa sasaNiliomba moderators waufute
Imagine niliweka ule uzi 2016 mtu anakuja PM 2018/2019 kunifariji π π
Me siku ya kwanza ilikua poa tuLeo niko huku kidogo.
Angalizo !
Kama uzi utakuwa una fanana au umeshawahi kuwekwa humu,ni aula nikakuzwa.
Sina kumbukumbu vizuri,ila nakumbuka ulikuwa uzi fulani unahusu "Cloning" (Nitasahihishwa juu ya anuani ya uzi husika) katika jukwaa la "Jamii Intelligence", nilijitutumua sana siku hiyo,huku kichwani nina mawazo ya kuwa humu kuna vichwa balaa na wako makini sana na ukikosea lazima uwekwe sawa,papo hapo. Hiyo siku nilikuwa makini sana,yaani nilikuwa naandika huku nafuta futa mara kadhaa. Uoga ulinijaa sana siku ile,nahisi ilikuwa ni sababu ya ugeni na kasumba iliyokuwepo kichwani mwangu.
Nilivyojiunga tu JF nikaleta uzi wa kuachwa,manake nilikuwa nimeachwa kipindi kile
Katika comments nilirespond accordingly....aliyenitolea povu nilimtolea povu,aliyekuwa mpole nikawa mpole
Au thread ipo jukwaani mtu anacoment pm.Niliomba moderators waufute
Imagine niliweka ule uzi 2016 mtu anakuja PM 2018/2019 kunifariji [emoji28][emoji28]
πππππwanaume wa jf wanavojua kutumia fursa sasa
Au thread ipo jukwaani mtu anacoment pm.
Ebu niambie nani huyo halafu huyo kapole ni nani eti[emoji134][emoji134][emoji134]Kuna mwanaume alinichamba jamani na venye ni kapole nilikaa wiki nzima sijaingia humu...
Ikawa kila nikikutana nae nalog out
[emoji23][emoji23]Pole sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi niliwahi kutongozwa PM alidhani mimi ni Ke
Nilivyojiunga tu JF nikaleta uzi wa kuachwa,manake nilikuwa nimeachwa kipindi kile
Katika comments nilirespond accordingly....aliyenitolea povu nilimtolea povu,aliyekuwa mpole nikawa mpole
UlishafutwaFufua uo uzi tuuone