Ilikuwaje ukaibiwa simu??

1. Ya kwanza niliibiwa nikiwa form 5, nilipoteza funguo ya chumba nikabaki na funguo ya akiba
Sikujisumbua kutafuta funguo iliyopotea.
Asubuhi nimeenda shule nikaacha simu kwenye chaji, niliporudi, kuingia ndani simu haipo.

2. Niliibiwa chuo mwaka wa 1, nimeingia kwenye paper, simu nikaacha kwenye begi nikaweka mbele
Nilipomaliza paper kwenda kuchukua begi simu hamna.
 
Nimewahi ibiwa simu mara moja Tu.Hii haikuniuma Sana kwasababu ilikua ishajichokea.Niliiacha ofisini nikaenda ofisi zingine narudi simu haipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…