Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Do!!kazi kweli kweli kwahiyo ikawaje??Mteja alikuja dukani duka lilikuwa jipya akawa anaagiza vitu vingi Kwa mkupuo , alikuwa anaagiza vitu vinavyohitaji kupanda na ngazi. Baadae akaghaili kununua hata hivyo vitu. Akawa ameondoka na simu.
Kivipinimelia sana sana😭
machozi😭Kivipi
Hauelewekimachozi😭
Hukupigwa loba la mbao 😹😹😹Niliporwa 😔😔 nilishika mkononi.
Ukaekwa mtu kati ulipona kweli 😹😹😹Nilikabwa na vibaka wakiwa na mapanga na visu
😅😅😅😅Hukupigwa loba la mbao 😹😹😹
Nilipona ila walinikata kidole lakini hakikukatika. Walitaka kukitoa baada ya kuwagomea kuchukua simu so nilipoacha wakaniachia na kidole changuUkaekwa mtu kati ulipona kweli 😹😹😹
Malizia kuandika na yowe ulilopiga huku umetoa macho.😂😂🙏Niliporwa 😔😔 nilishika mkononi.
Sasa usiombe ukutane na vibaka wa cha ukucha unapigwa bapa za panga na km uko na manzi wako wanamchukua huku unaona 😹😹😹Nilipona ila walinikata kidole lakini hakikukatika. Walitaka kukitoa baada ya kuwagomea kuchukua simu so nilipoacha wakaniachia na kidole changu