Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Kuibiwa simu kwa hayo mazingira ni uzembeNlikua nawai kuubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuibiwa simu kwa hayo mazingira ni uzembeNlikua nawai kuubiri
Dog ni dog tuHaha dog kaharibu mipango yote🤣🤣
😅😅😅😅umekaa kizembe sana! pole lakini
Hapana sio uzembe, niliweka charge kwenye saloon ya kiume ya mtoto wa mama yangu mkubwa kisha nikatoka kdg kama nusu saa ile narudi nakuta waya wa charge unanining'inia peke yake na yule ndugu yangu akanambia yeye alikua busy na kunyoa mtu sasa kuna kijana aliingia anahisi yeye ndo amechukua kwa asilimia 💯.Tulimbana yule kijana akakana ina nikaona nipotezee tu mama nikisema nilipeleke kisheria hata yule ndugu yangu angewekwa ndani.Uzembe ahahah
Daaah sema mkuu upendi tu kuweka mambo complicated ila ingekua mimi hapo ningekinukisha aiseeeHapana sio uzembe, niliweka charge kwenye saloon ya kiume ya mtoto wa mama yangu mkubwa kisha nikatoka kdg kama nusu saa ile narudi nakuta waya wa charge unanining'inia peke yake na yule ndugu yangu akanambia yeye alikua busy na kunyoa mtu sasa kuna kijana aliingia anahisi yeye ndo amechukua kwa asilimia 💯.Tulimbana yule kijana akakana ina nikaona nipotezee tu mama nikisema nilipeleke kisheria hata yule ndugu yangu angewekwa ndani.
I wish ungeenda deep kwenye hiyo simu ya tatu.story za watu zinachekesha mno..!!
simu ya kwanza kupotea, hii nahisi sikuibiwa nilifanya uzembe, nilikuwa nachat kwenye daladala tulikuwa wanachuo wengi tunaenda zetu Coco beach, enzi hizo tunajikuta wajanja balaa, nikawa nachat zangu nairudishia mapajani, muda wa kushuka kwenye daladala nikanyanyuka tu na mkoba wangu shwaaaaaaa, nahisi ilidondoka na zile purukushani sikuhisi chochote..!!
Nafika chini sioni simu na daladala ishayeyaa, ilikuwa bado mpya iliniuma balaa..!!
Simu ya pili, mzee hii nilikabwa Arusha na vibaka,😂😂
Hili tukio huwa linachekesha sana lakini lilinifanya kuwa traumatized vibaya mno, usiombe kubananishwa ukutani na majamaa wawili halafu kuna mvua flani na kigiza giza hivi, na hapo nipo hatua chache mno kufika nyumbani jumlisha nimevaa ki skirt kifupi cha kumwaga, niliwatolea mpaka hela Mimi mwenyewe ili wasije waza vitu vingine, siwezi sahau hii..!!
Simu ya tatu, walaqhi' Mimi nimeshindikana, japo story zote hizi zimetokea miaka mingi mno iliyopita, hii sasa ukiskia uzembe ndiyo huu, hii huwa hata siwaambii watu maana ni aibu, nilitapeliwa hii simu kijinga sana walaqhi', nilikuja kujicheka baadaye kabisa nikajiona bonge moja ya phaller..!!
Simu ya nne, hii ni Ile style ya kupuliziwa dawa ya usingizi dirisha mpaka linafunguliwa hujui, unaamka asubuhi unaskia kichwa kizito balaa, hakuna simu wala pochi yenye Pesa za kazini na miwani ya macho, wale wajinga waliiba mpaka lipstick halafu mkoba wakautupa nje huko, hii ilinikuta nikiwa Tanga, mzee ukiskia kudata ndiyo hii, hii hata sikulia tena, nilihuzunika tu sababu ya Pesa za watu baasii, ila kwenye simu nilikuwa nimeshakuwa gaidi..!!
Simu zote nilizotumia hivi karibuni sasa, it's either nigawe, iharibike yenyewe ama niuze, nimekuja kuwa makini balaa, enweiz, si sana sababu hakuna aijuaye kesho..!!😂😂
Wew hukuwah Ibiwa?Ukaekwa mtu kati ulipona kweli 😹😹😹
Wew hujawahi pigwa na kitu kizito nn mkuu😂😂😂😂😂😂Uzembe
Kwa sasa hakuna tena mwizi wa simuHabari zenu
Nimeanzisha huu uzi ili kupata experience ya kutunza simu zetu zisiibiwe, kama umewahi kuibiwa unaweza kutuambia ilikuwaje!
Chuo gani hicho waizi1. Ya kwanza niliibiwa nikiwa form 5, nilipoteza funguo ya chumba nikabaki na funguo ya akiba
Sikujisumbua kutafuta funguo iliyopotea.
Asubuhi nimeenda shule nikaacha simu kwenye chaji, niliporudi, kuingia ndani simu haipo.
2. Niliibiwa chuo mwaka wa 1, nimeingia kwenye paper, simu nikaacha kwenye begi nikaweka mbele
Nilipomaliza paper kwenda kuchukua begi simu hamna.
Chuo cha bibliaChuo gani hicho waizi
Kivipi?Chuo gani hicho waizi
Sijawahi ibiwa simu...Wew hujawahi pigwa na kitu kizito nn mkuu😂😂😂😂😂😂
Mimi pia sijawahi ibiwa na wala siombei inikute mkuuSijawahi ibiwa simu...
Ila nishawahi uziwa kitu feki..
Nilinunua suruali kumbe ni kama gaazeti an inachanika tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeMteja alikuja dukani duka lilikuwa jipya akawa anaagiza vitu vingi Kwa mkupuo , alikuwa anaagiza vitu vinavyohitaji kupanda na ngazi. Baadae akaghaili kununua hata hivyo vitu. Akawa ameondoka na simu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kaliiiMimi sikuibiwa ila nilikaa kwenye gari na dada mmoja mzuriiii, ikabidi nimpe simu aandike namba zake, akaipokea akawa anaandika namba ikatokea dereva kagonga dog, ikawa tafrani pale nikashuka haraka nikapanda gari lingine bila kusahau nimempa simu yule manzi....
Ahahahahha nasikia kile kitendo cha kujisachi mfukoni na kukuta huna simu...Mimi pia sijawahi ibiwa na wala siombei inikute mkuu