Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haiingii akilini yaani mpaka dakika hii wazinzi uzi haujafika reply ya mia? Kwamba walevi wamezidi nguvu? Hebu ongezeni juhudi vijana.
 
Usiombe kukutana na chibonge afu una machine fupi ni mateso,k huifikii vzur
 
Ukijua hivyo,unatakiwa uchague lugha ambayo unaimudu kuwasilisha yale ambayo wewe unataka kuwasilisha,usitumie lugha ambayo itakufanya ufanye makosa mengi ya lugha husika.Hiyo tabia ipo hata kwa mkubwa wa NJI hii.
Sasa atajifunzaje asipoitumia hiyo lugha? Njia ya kujifunza ni kuandika na kuzungumza. Mlipaswa nyie wataalamu sasa mumuelekeze alipokosea arekebishe, sio nanyi kujifanya wajuaji.

Mkubwa wa INJI hii tatizo lake kubwa ni athari ya lugha mama, ndio maana hata Kiswahili kinampa taabu. Cha msingi mnaelewa anachowasilisha.
 
"Alilala na bib harusi, siku moja kabla ya harusi, harafu si bwana harusi, bado una nishauri harusi" FA, #bado niponipo.



Ngoja shetan akae kando, tubaki kinywa wazi.
 
Mabahari watakupa sifa umewapa mbinu.[emoji3][emoji3]
 
Unamtisha nani sasa
 
Hahahaha. ..ndo naona leo hii comment yako anyway
I know misala mingi tu ya Smart911 Hadi ya mwalimu wake mmoja wa advance huko Germany. . Mi na smart akili zetu tunazijua wenyewe hakii tunazijua wenyewe
Anajifanya mtakatifu unadhani anaweza comment misala yake halafu akammention mahondaw

Heheheh never
 
Hahahaha. ..ndo naona leo hii comment yako anyway
I know misala mingi tu ya Smart911 Hadi ya mwalimu wake mmoja wa advance huko Germany. . Mi na smart akili zetu tunazijua wenyewe hakii tunazijua wenyewe
Sawa basi mwambie awe free kuitupia hapa

Halafu akumention aache coz mamiloo una muelewa Sana baharia
 
Kuna watu mnachekesha jamani...
Hivi kwanini watu wa singida,Kagera,Manyara,Dodoma,Karatu..hua ni warahisi mno.......?
 
Exactly kama utakua unafatilia comments zangu kuna mada huwa namwita kwa hii statement . .." Smart911 yua eksipiriensi pullliiiiizzzzzzzz "
Sawa basi mwambie awe free kuitupia hapa

Halafu akumention aache coz mamiloo una muelewa Sana baharia
 
aah, stori tamu sana hii, vipi mliachanaje? au distance
Baada ya mda demu wangu akataka turudiane,sasa kwa kuwa tulikuwa na mtoto na bado nilikuwa nampenda nikamrudia.Siku nilimweleza mwaarabu kuwa narudi kwangu alilia saana,nilijiskia vibaya lakin ndo ivo tena ye mwenyewe alikuwa bado yupo na mme wake,na alitaka kunitymia mimi waachane.
Lakin bado niliendelea kustua mara kwa mara sema,nilirudisha nyumba nilopang ivo kupiga nae mechi ilikuwa ishu sana,wakati mwengine mpaka kwenye gari.
Nilimkimbia alipotaka ndoa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JF JF hahahaahah
 
kuna mke wa MTU mmoja hivii...anachofanya anaanza kukushawishi kwa kauli na hata ishara..

sasa ukiingia mkenge na ukakubali,kitakachotokea anapanga na Mume wake naye anakufumania live

huyo Mume yeye anapendaga kukula kisamvu tu na mke anashuhudia..

yaani mtaani vijana wengi wanaliwa TIGO kimya kimya kwa kumpapatikia huyo mke wa mtuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…